MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Mwigulu amekaa kipigaji pigaji sana na kumbuka enzi za Jk alikuwa naibu Waziri wa fedha, kipindi hicho watu wanabeba pesa kwenye Viroba wakina Mama Tibaijuka na Mzee wa Vijisent.
Upigaji pale lazima uwe mkubwa sana Mwigulu sijui amefika fika vipi pale.
Tutarajie upigaji wa kutisha awamu hii ingawa hata kwa mwenda zake bado watu walipiga
Upigaji pale lazima uwe mkubwa sana Mwigulu sijui amefika fika vipi pale.
Tutarajie upigaji wa kutisha awamu hii ingawa hata kwa mwenda zake bado watu walipiga