Kuna mawili hapa ndugu ambayo kwa bahati mbaya yote si mazuri kwa Mwigulu,Mna ushahidi kua ameiba? Acheni upotoshaji. Mwigulu piga kazi kivyovyote piga kazi.
Kwenye paylist huwezi kuona jina lake lakini yupo 100% kavuta kubwa kuliko hata hao wengineMwiguru hawezi kitu wamemuweka hapo ili aibe mali
Mwigulu ni jangili kama majangili mengineKwa uelewa wangu, na ninavyo fahamu tamaa za Mwigulu, hili jambo ana lijua, na huenda haya makundi anayonyafadhili kumpinga Mh. Rais, baadhi ya hizo pesa zime elekezwa huko. Direct or indirect.
Mwigulu anatakiwa aondoke hapo wizara ya fedha asap.
Mh. Rais watu walikutonya mapa sana kuhusu huyu mtu. He is a Snitcher. View attachment 1801097
Nani kakwambia bongo kuna ministerial au collective responsibility kwa hawa wachumia tumbo mkuuBinafsi nashangaa na hadi sasa huyo waziri alitakiwa awe pembeni akipisha uchunguzi huru.
Hilo ni gonjwa sugu kwa viongozi wetu wa AfrikaNani kakwambia bongo kuna ministerial au collective responsibility kwa hawa wachumia tumbo mkuu
Haiwezekani kamwe kutema posho na marupurupu wanayo pata + many privilege
Nipende kukuhakikishia tu kuwa Maderu huu ndiyo mwisho wake hapo wizaraniAcheni kampeni za kipumbavu.
Tanzania wanasiasa ni mabwanyenye badala ya kuwafanyia kazi wananchiHilo ni gonjwa sugu kwa viongozi wetu wa Afrika
Ndiyo maaana viongozi wengi wakati wa uchaguzi wanatumia sana fedha ili kupata hizo nafasi.Tanzania wanasiasa ni mabwanyenye badala ya kuwafanyia kazi wananchi
Wananchi ndio wanakamuliwa
Ndani ya ccm wengi wao ni majizirais anabembeleza wezi.
Tecno changamoto sanaMadhara ya kutumia tekno na network za kuunga unga. Uzi unajirudia mara kumi kidogo.