Bill & Melinda Gates watalikiana

tsup!! life is so fast
alianza Jeff Bezzos na sasa ni Bill Gate nahsi Mark zuberg is next
 
Yani watu wameishi pamoja katika ndoa mpaka wanaanza kufananana, halafu talaka!

Yani kila watu maarufu walivyokuwa wanafikia talaka, nilikuwa naiona hii couple ngangali sana. Ya kupigiwa mfano.

Nayo imekumbwa na talaka.
 
Ndo vizuri ukiwa na cash ni kula chuchu konzi tu
 
I never cease to amaze eeh?

Ndoa sio mchezo acha Melinda akapelekewe moto.
Halafu Ukute Kuna Kichalii Kidogo Tu Kwenye Hyo Foundation Yao Ndio Kinampelekea m-[emoji91] Aiseeeeh [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha SGR kukaa katika ndoa kwa miaka 27 halafu mnatalikiana mkiwa mmeshazeeka.
That is stupidity at its best. Bill Gates and Melinda should have known better. Wameniboa sana hawa watu. Mnaachana uzeeni ili iweje? Melinda is 50+ na Bill Gates is 60+, why divorce one another now?
 
Yani watu wameishi pamoja katika ndoa mpaka wanaanza kufananana, halafu talaka!

Yani kila watu maarufu walivyokuwa wanafikia talaka, nilikuwa naiona hii couple ngangali sana. Ya kupigiwa mfano.

Nayo imekumbwa na talaka.

Jinamizi la talaka halijawaacha mkuu.
Ila wamekua waungwana kuweka wazi vinginevyo ingeacha speculations na tafran

Tuwape mkono wa pole japo njia waliyoichagua huenda ikawapa amani na furaha zaidi.

Hapa ndio utaelewa kuna wakati mambo yanavyoonekana kwa nje, ni tofauti na uhalisia.
 
Unaweza kukuta bill Bill Gates anataka ku come out kwamba amegundua yeye pia ni mama na anahitaji baba hawa wazungu wa siku za mwisho hawaelewekagi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…