Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

"hatuamini tena kama sisi tunaweza kukua pamoja kama wenzi katika awamu hii inayofuata ya maisha yetu"
Maneno mazuri yenye busara

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Hahah hawa Bill na Melinda ni mafala sana hahah
sasa wanaingia awamu ya ngapi hiyo
Haha ya 6 au?
(Eti katika awamu hii inayofuata)
Jeff ni kidume coz mama alileta timbwili la talaka
wakagawana
sasa Jeff amefikisha $200B
aisee sasa ule usemi kuwa behind every successful man kuna mwanamke mbona ni nadharia tu kumbe!!!
 
Hehehe kiwanja kimoja town DSM hapo. Nenda pale na dollar kadhaa Sat night ndo utagundua upo kwenye mahusiano ambayo hujui yanahusiana na nini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora hata hawa wana cha kugawana.huku kazini ni vituko.mke anataka kagawana kiwanja basi kiko mlimani hata mil 2 hazifiki ila ndo hivyo tena kesi iko mahakamani. Hapo hapo wana watoto[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa hizi acha bwana, unaona watu wanatembea njiani wameshika mikono, mama kabebewa mkoba utadhani hana nguvu za mikono[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe huko ndani mbususu haijaguswa mwaka, halafu kuna njemba kazi yake ni kutengeneza six packs inajipigia tu kizembe, tena kwa kusimamia kucha. Maniner!
 
Back
Top Bottom