Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Kwa nini hakijulikani na ni nini kinakufanya uone chanzo hakijulikani
Hivi kama chanzo kingekuwepo na
kingekuwa kinajulikana kipo,

Kungekuwa hata na haja au sababu ya kujiuliza maswali haya ya uwepo wa chanzo?

Chanzo kingekuwepo kingefahamika na kutambuliwa na binadamu wote kwamba kipo. Maswali haya na mada kama hizi zisingekuwepo.

Hakuna chanzo,

Ndio maana tunajaribu kuhoji na kujiuliza uliza, kwamba chanzo kipo kweli?
 
Shimba ya Buyenze umejibu vema. Lakini kwenye kujenga hoja huwezi kuweka Kila kitu.

Kwa mfano unataka kujadili ni kwanini watu wanakunywa Pombe aina ya gongo, haiwezekani ukauliza ni kwa nini watu wanakunywa Pombe. Swali kama hili litafanya uwanda uwe mpana sana.
Na mjadala wako hautakuwa na usambamba kwa sababu umeegemezwa katika misingi fiche. Bila wewe kuweka wazi ni kwa nini unadhani binadamu tu ndiyo anapaswa kutafutiwa chanzo (na hatima yake); na siyo kenge wala mbu wakati sayansi inatuambia kuwa wote wametokana na chanzo kile kile (primordial soup), washiriki wako watakuwa wanapapasa papasa tu bila kugusa hasa unachokitafuta. Weka nguzo kuu ya hoja yako wazi ili watu wajue mahali pa kuelekeza fikra zao. Wajadili chanzo na hatima ya binadamu kisayansi/kimwili? Kiroho? Ki...?

Utaje huo upekee unaokufanya umtafutie binadamu chanzo na mwisho wake; na siyo mbu, kenge au twiga!

I am out 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Ukiangalia maisha ya kenge na kuku unaweza kuuliza hili swali kweli???
Achana na Kenge au Kuku pekee, hata maisha ya mchicha....., Au turudi kwenye huyo Kuku mpaka amekuwa domesticated au breeds tofauti, au magugu yanavyojitahidi kurusha mbegu hapa na pale ili ku-survive as a specie..., utagundua kwamba its all about propagation, adaptability na conducive environment na specie yoyote ikicheza.., iwe binadamu, tembo au chochote kile mazingira yakibadilika inaweza kuwa wiped out na dunia itaendelea kuwepo labda mpaka pale fuel (hydrogen) kwenye jua itakapoisha..... unadhani ikitokea nuclear war na mabomu kupigwa duniani huyo binadamu na viumbe vingi as we know them watabaki ? Au kina Mende na Bacteria wengine ndio wataendeleza libeneke ?

Ni hubrus nature ya binadamu kujiona superior na special lakini huenda hata katika civilization kina nyuki walikuwa civilized before him...

Kwa muktadha huo ni kwamba kila kiumbe hai kipo kwa ajili ya kujaribu ku-propagate na kusurive as a specie... na binadamu is no different - just part of an ecosystem trying to balance in equilibrium.....
 
Hivi kama chanzo kingekuwepo na
kingekuwa kinajulikana kipo,

Kungekuwa hata na haja au sababu ya kujiuliza maswali haya ya uwepo wa chanzo?

Chanzo kingekuwepo kingefahamika na kutambuliwa na binadamu wote kwamba kipo. Maswali haya na mada kama hizi zisingekuwepo.

Hakuna chanzo,

Ndio maana tunajaribu kuhoji na kujiuliza uliza, kwamba chanzo kipo kweli?
Sisi wengine wala hatupati tabu tayari tunajua chanzo, nyinyi ambao hamjui inabidi tuwape pole sasa, Hamna namna.
 
Eo

Roho ni nini?

Nafsi ni nini?

Muonekano wa hivi vitu upoje?

Kama havionekani, Uliwezaje kujua vitu hivi vipo?

Uchunguzi gani ulifanyika na utafiti upi una thibitisha uwepo wa Roho?

Thibitisha uhalisia wa vitu hivi, Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
Umeme upo?.....😜🤪
Je? Upepo???🤪🤪😝
Ukituma meseji kwenye simu yako,mbona hatuoni ikitoka na kuingia kwenye simu uliyotuma?😗🙃
Vp? Radio mtu yupo studio lakini dunia nzima twamsikia???😝🤑🤪🤪
HIYO NI TAFSIRI YA ULICHOHOJI.
 
Mwanza ipo tayari kwenye uhalisia.

Huwezi kuota kitu ambacho Hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Vitu vyote vinavyo otwa kwenye ndoto angalau vipo kwa kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Huwezi kuota nje ya hapo.

Taarifa zote zilizomo kwenye ubongo ambazo unaweza kuziota ndotoni, Ni zile tu ambazo Angalau umeshawahi kuziona, kuzisoma, kuzishika, kuzisikia mahali fulani, na kuhadithiwa.

Huwezi kuota kitu kisicho kuwepo (Nothing) lazima uote "something" ambacho kwa namna fulani ubongo wako una taarifa nacho.
Umeandika UONGO chief.
 
Kanuni hii ni ya kwangu binafsi, Si kwamba ni kanuni ya watu wote.

Kanuni hii ni kutokana na kwamba watu wanaodai Mungu ni chanzo cha ulimwengu hawana UTHIBITISHO wa madai yao.
(Ni mawazo yao ya kufikirika tu)

Watu wengi wana amini Mungu Hana chanzo kwamba alitokea tu, Pia wana amini Mungu huyohuyo hana mwisho.

Watu wengi wameweza kuamini Mungu wasiyemjua Hana chanzo Lakini wana lazimisha kwamba Dunia ina chanzo, Na chanzo hicho wanadai ni "Mungu" Kwamba wana amini Haiwezekani Dunia iwe imetokea tu yenyewe Pasipo chanzo.

Sasa ni hivi[emoji116]

Kama "Haiwezekani" Dunia isiwe na muumbaji, kwamba lazima awepo aliye iumba "Imewezekana" vipi Mungu asiwe na Muumbaji?

Kama Mungu hana mwanzo, Inashindikana vipi kwa Dunia kutokuwa na mwanzo?

Huu ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe na chanzo, ila Mungu yeye Hana chanzo uliwekwa na nani?

Hapa sasa ndipo,Kanuni hii inapo tumika kwamba,

Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na chanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo. Maana Mungu huyo bado "HAJATHIBITIKA" rasmi kwamba yeye ndio chanzo halisi cha ulimwengu.
( Bado ni mawazo na mafikirio ya watu tu)

Sasa kama bado Mungu HAJATHIBITIKA kuwa chanzo halisi cha Dunia, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia imeumbwa na ina mwanzo.

Ila mtu akianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe imeumbwa, Lazima athibitishe kwamba chanzo cha Dunia hakina mwanzo.

Na aeleze na kuthibitisha chanzo hicho cha Dunia, kimewezaje kuwepo bila chanzo kingine.
Chanzo hakiwezi kuwa na chanzo chake kingine vinginevyo hicho kitakuwa siyo chanzo kwa maana ya asili ya kitu hicho, tafakali vizuri.
Ukishapata chanzo cha kitu au jambo fulani na bado unataka kutafuta chanzo cha chanzo ujue hukupata chanzo halisi maana chanzo ndiyo mwanzo na mwisho wa asili ya kitu au jambo.
Watu wote wenye bongo zenye akili wanaamini hivyo kuwa Mungu ndiye chanzo chenyewe ila wale wanaomiliki bongo sisizo na akili hawawezi kuelewa maana wao wana ubongo ila akili hazimo.
 
Chanzo hakiwezi kuwa na chanzo chake kingine vinginevyo hicho kitakuwa siyo chanzo kwa maana ya asili ya kitu hicho, tafakali vizuri.
Kwa nini Hakiwezi?

Unatakiwa ueleze chanzo hicho kimewezaje kuwepo bila chanzo chochote kile?
Ukishapata chanzo cha kitu au jambo fulani na bado unataka kutafuta chanzo cha chanzo ujue hukupata chanzo halisi maana chanzo ndiyo mwanzo na mwisho wa asili ya kitu au jambo.
Kabla ya chanzo kulikuwepo nini?

Ina maana chanzo kilitokea tu, from nothing kikawa chanzo?
Watu wote wenye bongo zenye akili wanaamini hivyo kuwa Mungu ndiye chanzo chenyewe
Utafiti upi ulifanyika kugundua kwamba Mungu huyo ndio chanzo?

Mungu ni nini?

Unathibitisha vipi kwamba Mungu huyo ndio chanzo cha ulimwengu?

Na si mawazo na imani yako ya kufikirika tu.
ila wale wanaomiliki bongo sisizo na akili hawawezi kuelewa maana wao wana ubongo ila akili hazimo.
Wewe mwenye bongo iliyo na akili,

Eleza Mungu ni nini?

Ulifahamu vipi Mungu huyo ndio chanzo?

Utafiti upi ulifanyika na kuthibitisha Mungu huyo yupo?

Kwa nini Mungu huyo hana chanzo?

Kabla ya Mungu huyo kuwa chanzo, alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Thibitisha Mungu huyo ndio chanzo cha ulimwengu na si mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Umeme upo?.....😜🤪
Je? Upepo???🤪🤪😝
Ukituma meseji kwenye simu yako,mbona hatuoni ikitoka na kuingia kwenye simu uliyotuma?😗🙃
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Umeme upo kwa kuonekana pia kuhisika kama unabisha shika waya wa umeme ku test kama umeme upo au haupo, Upepo upo kwa kusikika ukivuma.

Hewa, joto na baridi vipo kwa kuhisika.

Sasa Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mungu huyo ni dhana na mawazo ya kufikirika tu.

Imagination just an illusion.
Vp? Radio mtu yupo studio lakini dunia nzima twamsikia???😝🤑🤪🤪
HIYO NI TAFSIRI YA ULICHOHOJI.
Hapa rudi shuleni kasome Physics.
 
Sisi wengine wala hatupati tabu tayari tunajua chanzo, nyinyi ambao hamjui inabidi tuwape pole sasa, Hamna namna.
Thibitisha chanzo hicho.

Na onyesha ni namna gani utafiti ulifanyika kugundua chanzo hicho?

Chanzo hicho kimewezaje kuwepo bila chanzo chake?

Kabla ya chanzo hicho kuwa "chanzo" kilikuwa wapi?

Huko kiliko kuwa kulitoka wapi na kuumbwa na nani?

Chanzo hicho kimewezaje kutokea tu Vuuuuuuuuuuh 😄 from nothing?
 
Eleza ukweli basi.

Usi ishie kusema uongo tu.

Eleza na ukweli wako tuone hapa.
Mimi naota hata vitu ambavyo sijawahi kuviona wala kuvisikia hapa duniani...
Ndio maana point yako nmeita ni uongo..

Yani umeandika tu ilimradi wala data hauna, kwa ufupi ni kwamba research hujawahi kufanya.
 
Unapata au una itafuta ndio uipate?
Na kuhusu ndoto hii kitu inatafakarisha sana, Maelezo ya jamaa yananikumbusha na mimi japo sasa hivi haijanitokea mda mrefu....Nlikua naota vitu ambavyo saa kadhaa mbele naenda kuona hivyo hivyo....Nmewahi kumuota jamaa ambae sikua nmemuona kwa mda nkaonana na jamaa mazingira yale yale nliyomuota...Vitu kama hivi science haiwezi kuelezea hata kidogo
 
Kwa muktadha huo ni kwamba kila kiumbe hai kipo kwa ajili ya kujaribu ku-propagate na kusurive as a specie... na binadamu is no different - just part of an ecosystem trying to balance in equilibrium.....
Pamoja na maelezo yako hayo, Bado hujajibu swali nililouliza.

Huo mfumo na hivyo viumbe hai vina chanzo ama vimekuwepo tu duniani bila ya kuwa na chanzo??
 
Wewe ulitumia mtazamo gani tofauti na wa kibinadamu, kujua Mungu yupo?

Mtazamo wako huo ulio utumia kujua Mungu yupo, Unaweza kumthibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Na si mawazo yako ya kufikirika tu?
Ipo hivi
Mara nyingingi binadamu tunaelezea kitu tukiegema kwenye suala la
-Muda(time),
-Space(mahala/eneo/sehemu n.k),
-Mada(matter)
Hivi ndio paramater(uwezo)zetu kwenye kupambanua mambo. Mfano mtu anapouliza muumba/creator alitoka au alikaa wapi(mahali) anavoumba au ni lini(muda)alifanya huo uumbaji au utengendezaji na kwa kutumia nini(matter).
Hii inakuwa sawa na progarmu ya computer ijaribu kumfahamu injinia wa programu husika kwa kutumia programu hiyohiyo aliyoitengeneza huyo programer(tuchukulie hiyo programmer hajaandika program ya kumwelelezea mwanadamu yaani program iende nje ya parameter zake)
Unapoongela muumba/creator wa mwanadamu na universe kwa ujumla maana yake huwezi kumwelezea au kumwelewa kwa kutumia hivo vitu yaani time, space and matter maana hizo ni variables ambazo yeye amezitengeneza na yupo nje ya hizo variable yaani kama programmer anapokuwa nje ya computer akibuni parameters na variables za programu yake

Sisi ni watumwa wa time space and matter ila surely creator au designer wetu hivo vitu wamevitengeneza wenyewe huwezi kuwa define based on that
 
Back
Top Bottom