Wewe na vijana wenzako wa hovyo ndio mnaiharibu JF. Tatizo kila saa mnataka muwe active humu hamjui kuna kupumzika na kusoma walivyoandika wengine. Mnaleta misongo yenu humu kutusumbua.
Hasira za kuleta uzi alafu kusiwe na wachangiaji ni hii ila swala la kusema jf imebadilika ni uongo kwani jukwaa la GT halikuweko ,mapenzi,mahusiano ,jamii photo ,mikeka halikuwepo before au unaleta taarabu tu
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..
This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.
Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..
Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...
Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..
Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.
Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..
It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.
Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Ukishindwa kuwabadilisha watu ambao wanachangia OP basi badilika wewe kuanza kuandika P ,then kwa kupitia mabadiliko yako wanaweza wakakufuata maana binadamu tunapenda kuiga mambo mazuri.
Wewe Pimbi sepa tu huna faida yoyote ile,umesha sema huoni faida ya kua humu,
Sasa unangoja nini bado? Kila siku kujiliza hapa,mara uanzishe vinyuzi vya kuaga ila umo tu humu,JF unatakiwa kukaza,endelea tu kulia lia utaposwa.
Wewe na vijana wenzako wa hovyo ndio mnaiharibu JF. Tatizo kila saa mnataka muwe active humu hamjui kuna kupumzika na kusoma walivyoandika wengine. Mnaleta misongo yenu humu kutusumbua.
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..
This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.
Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..
Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...
Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..
Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.
Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..
It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.
Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Toka humu si umesha ona humu hakufai? wewe si ulisha aga humu?
Unajibu kila comment unapoteza muda wa kuondoka tu humu,toka tu huna faida yeyote humu,naona unagombana na kila mchangiaji.

Usinifananishe na Takataka. Kingine, toka mada imeanza hakuna cha maana umeandika.. Ni aina hii ya watu walio na maisha magumu, kazi yao ni kuja humu na kuleta negative vibes na vijembe tu

Wewe mbona unafatilia maneno yasiyo na msingi? Kwa nini usistick kwenye mada? Heka heka? Unazo wewe ambaye huna utulivu. Soma nyuzi, elewa na tuchangie sio kutafuta attention kwa wanawake
Ila unajua unanichekesha hivi mkuu unajua una utoto sana mbaya zaidi unajiona mtu mzima😆,sasa kijana wangu hebu niambie unatakaje jf iwe hile hile ya miaka ya nyuma yani nini kifanyike? Sio wewe na uzi kama hizi ndiyo mmehiaribu jf nyine ndiyo mpigwe ban ya maisha mmekua kero,Kwa maoni yako sasa wewe ndiyo ung’atuke,kipi hasa kina kuboa wakati wewe ndiyo unatuboa,watu wako humu tangu 2012 mimi nawajua lakini wanachangamana vizuri tu na Gen Z sio kwa ubaya ila una makosoro huwezi ukachukulia vitu serious hivi 🤣🤣 au kuna mtu alilazimishwa kuwa humu una wivu na tabia mbaya kwamba unataka watu waichukie jf ili iweje kwako? unatafuta attention kama mtoto wa miezi miwili anae lia tu ili asikilizwe,maiaka inaenda huwezi ukalazimisha mawazo ya wachangiaji yakabaki yale yale kama ya zamani,tatizo uantafuta kupendwa fanya maisha achana na mambo ya mtandaoni vitakupa stress,nimewaza unaishije na jamii inayokuzunguka jirani,marafiki,mchumba,ndugu na wazazi sio utakua una makasiriko sana kijana utakaa na amani kwa namna hii
Wewe na vijana wenzako wa hovyo ndio mnaiharibu JF. Tatizo kila saa mnataka muwe active humu hamjui kuna kupumzika na kusoma walivyoandika wengine. Mnaleta misongo yenu humu kutusumbua.
Ila unajua unanichekesha hivi mkuu unajua una utoto sana mbaya zaidi unajiona mtu mzima😆,sasa kijana wangu hebu niambie unatakaje jf iwe hile hile ya miaka ya nyuma yani nini kidanyike? Kwa maoni yako sasa,kipi hasa kina kuboa na unashidnwa kuachana nacho?watu wako humu tangu 2012 mimi nawajua lakini wanachangamana vizuri tu na Gen Z sio kwa ubaya ila una makosoro huwezi ukachukulia vitu serious hivi 🤣🤣 au kuna mtu alilazimishwa kuwa humu una wivu na tabia mbaya kwamba unataka watu waichukie jf ili iweje kwako? unatafuta attention kama mtoto wa miezi miwili anae lia tu ili asikilizwe,maiaka inaenda huwezi ukalazimisha mawazo ya wachangiaji yakabaki yale yale kama ya zamani,tatizo uantafuta kupendwa fanya maisha achana na mambo ya mtandaoni vitakupa stress,nimewaza unaishije na jamii inayokuzunguka jirani,marafiki,mchumba,ndugu na wazazi sio utakua una makasiriko sana kijana utakaa na amani kwa namna hii