Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Mimi nimekupa ukweli. Kwa manufaa mapana ya Jf, log out, halafu pambania afya yako ya akili kisha utarudi baada hata ya mwaka.
What makes you think unanifahamu?
Acha tabia ya kuleta mihemko isiyo na maana. Hunijui sikujui baki kwenye mada. Kama hauna cha kuchangia kaa pembeni
 
Mkuu! Huyu kijana sio Gen z ila ni mtu mzima hovyoo
 
Uzuri hulazimishwi,ukishaona hapafai unaondoka tu
 
What makes you think unanifahamu?
Acha tabia ya kuleta mihemko isiyo na maana. Hunijui sikujui baki kwenye mada. Kama hauna cha kuchangia kaa pembeni
Nakujua vizuri tu si unaona nina hadi nguvu za kukuambia upo na msongo? Sina haja ya kuijua sura yako ndio nikujue wewe ni mtu wa namna gani. Maandishi yako yanakuelezea wewe ni nani zaidi ya namna sura ingekuelezea.
 
Unanijua toka lini wewe..
Acha kufuata mikumbo humu na maneno ya kila member..

Ninacho weka humu ni snippet ndogo sana kunihusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…