Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
wenzio wengi wanajua hivyo. wewetu ndiohujui
sasa mbona mnasema yesu ameondoka nazambi zenu msalabani yeye Kama Nani abebe mizambi ya watu?
Punguza mihemko tumia zaidi akili yako, control your emotion.Amka usije ukalowesha mashuka
Waarabu hawahitaji wakimbizi bali wafanyakazi tuHivi kwanini Wakimbizi wengi wanaotokea Afghanistan, Iran, Syria n.k hukimbilka nchi za Magharibi kama Ulaya na USA badala ya nchi za kiislamu kama Saud Arabia, Indonesia, Quarter n.k?
Kuna siri gani haswa hapo Chifu?
Si nimesema ni siku zote!!..inamaana hukuzingatia nilichokisema,keshokutwa Tena utakuja na hilohilo,kwenye uislam hakuna siku maalum ya kuabudu,siku zote ni za ibadaHata Kwa Ukristo na uyahudi kila kitu ni Ibada, Ila kuna siku ya kuabudu.
Wewe unazungumzia Jambo dogo Kama hilo alafu unasema watu hawafahamu😂😂
Kwa mujibu wa dini yako siku gani ni ya kuabudu?
Punguza mihemko tumia zaidi akili yako, control your emotion.
How could you be so weak emotionally and dull minded?
Those words of mine was supposed to be cryptic, only great minds will decode and understand.
Never was my intention to attack your thoughts or challenge your ideologies but to complement and give you other perspectives.
Rumour has it, ........... alitangulizwa sababu ya misimamo yake.
Si nimesema ni siku zote!!..inamaana hukuzingatia nilichokisema,keshokutwa Tena utakuja na hilohilo,kwenye uislam hakuna siku maalum ya kuabudu,siku zote ni za ibada
HaijasemaKwa hiyo Quran haijasema watu waende ijumaa kuabudu?😂😂
Again rudia tena comment zote, mbona unakuwa mzito hivyo?Umeni- quote hapo juu alafu unazungumzia vitu ambavyo vipo nje ya kile nilichoandika ndio maana nimekuambia amka usije ukakojoa. Maana ni Kama unaota.
Labda ungeniuliza swali ningeona unahitaji mjadala
Haijasema
Mkuu sijawahi ona uzi wako hapa nikapuuza kuusoma, hata kama ni mrefu vipi nitasoma kwa makini sana, uko vizur sana mkuu, shusha madini mkuu. Wewe ndo Robert Heriel , taikon wa JF , Mtu mwenye uelewa wa hali ya juu sana.
Again rudia tena comment zote, mbona unakuwa mzito hivyo?
Ulisumbua sana waalimu wako. Kwenye fasihi unafanyeje mkuu.
Haijasema
Qur'an 62:11“Enyi mlioamini! Kukiadhiniwa kwa ajili ya Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Kufanya hivi ni bora kwenu. Ikiwa mnajua (hivi basi fanyeni). Na itakapokwisha Sala, tawanyikeni katika ardhi mtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi, (ili msipate kufanya mabaya), ili mpate kufaulu.” (Qur’an 62:9-10)
Mi nausoma uislam tangu 1993 ndugu yangu,unadhani sikujua Aya gani inaongelea swala ijumaa!!?Wewe ni Muislam kweli au ndio Wale magaidi mnaouchafua uislam? 😀
Qur'an 62:11
Na wanapoiona biashara au pumbao(burudani) wanayakimbilia hayo na wakakuacha umesimama,sema yaliyoko kwa mwenyezi mungu ni Bora kuliko pumbao na biashara.na mwenyezi mungu ni mbora wa kutoa riziki
Hukutaka kuweka hii Aya ni aidha kwa kuwa hujui au kusudi,siku ya ijumaa ilikua siku ya mnada(kusanyiko/jamaa,yaani Kama sabasaba,biashara na burudani nyingi,muda wa swala ukifika watu hawajali wanapenda kwenye biashara na mapumbazo/burudani,Aya Wala hazisemi ni siku maalum ya kuabudu,ndiyo maana nakuambia ujifunze kwanza uislam ikiwa una hamu ya kuujadili,unadhani sikujua utatoa Aya hiyo!!
Mi nausoma uislam tangu 1993 ndugu yangu,unadhani sikujua Aya gani inaongelea swala ijumaa!!?
Kwa mujibu wa Quran naomba unitajie amri zilizoandikwa kwenye mbao ya Musa.
Nakusubiri
Ili iweje yaani mi kulazimika kukutajia wewe!!?..una umri gani!?..mbona una-sound babyish!!Kwa mujibu wa Quran naomba unitajie amri zilizoandikwa kwenye mbao ya Musa.
Nakusubiri