Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Kusema sio tatizo kwa sababu kila mtu anaweza kusema analojisikia,ishu ni evidence za uhakika za kinachosemwa.

Mimi kusema kwamba uislamu wameanzisha wakatoliki mbona sioni tatizo juu ya kauli hiyo,ishu ni evidence zenye kueleweka za kutilia nguvu usemi huo.
Evidence na study zipo tu Mbona. Mfano Taurat, zaburi na Injili vipo kwenye Quran na ukatoliki umekuwepo kabla ya uislamu, pia nchi zote za kiislamu zilikuwa ni za kikatoliki kabla ya uislamu kuenezwa kwa upanga.
 
Ulaya wanashindwa waadhibu vipi Qatar kwa msimamo wao

Kila kukicha wanasema migrant worker, human rights wakati wao ndio walipiga kura na kuichagua wakijua fika ni nchi yenye tamaduni zake na sheria zake
Waache wajifunze tamaduni za wengine maana wengi wamezoea wakisafiri ni ulevi na uzinzi tu hawajui kuna mengi ya kujifunza
Hivi kwanini Wakimbizi wengi wanaotokea Afghanistan, Iran, Syria n.k hukimbilka nchi za Magharibi kama Ulaya na USA badala ya nchi za kiislamu kama Saud Arabia, Indonesia, Quarter n.k?

Kuna siri gani haswa hapo Chifu?
 
Mkuu wewe unasemaje kuhusu Uyahudi ni kabila au dini ?

Uyahudi ni kabila, Dini na sasa ni TAIFA.
Katika kabila la Yuda waliitwa wayuda ambao ni ufalme wa Kusini kama sijakosea. Kipindi wamechukuliwa uhamishoni ndio jina Wayahudi lilianza kutumika. Wakimaanisha Wana wa Yuda(Wayuda, Yehuda Kwa kiebrania)
Baadae dini Yao ikaitwa Uyahudi kutokana na desturi zao
 
Kwenye uislam hakuna kabila Wala jamii,uislam unatambua binaadam ni wamoja,ndiyo maana hata nabii Adam Allah anamtaja Kama nabii wake,kadhalika nuhu... ambao hawakuwa wayahudi(Kama unavyowaita na kuwaona ni chanzo Cha Imani)....na uislam Hauna siku maalum ya ibada,siku zote ni za ibada,ndiyo maana kuna swala Tano,usiwe unajadili vitu usivyo na elimu navyo,mwerevu na mwenye hekima hujifunza kwanza Jambo asolijua ndiyo akalinenea

😂😂😂
Ndio maana nikasema hapo ndipo baadhi yenu mnapokosea,

Dini yoyote lazima iwe na Siku ya Ibada katika wiki
Nenda kasome Torati ambaYO Mnaiamini utaona Siku ya Ibada ni ipi?

Alafu tofautisha Swala tano na siku ya Ibada.
Kamuulize Mwalimu wako akufundishe vizuri akuambie Kwa nini Waislam wanaabudu katika siku ya ijumaa.

Alafu ukirudi uje tujadili
 
Shida ni hilo neno kuiba, japo hatujui unamaanisha nini in deep mind ila ukweli ni kwamba Mungu wa Taurat na Injili, Quran nk ni huyohuyo mmoja isipokuwa kutokana ni upotofu wa binadam hizo injili zilikuwa corrupt katika baadhi ya vipengele hivyo ikashushwa Quran ili kuweka bayana. Anyway kama inashindikana kukubaliana hatulazimishani wewe sema injili iliibwa sisi tuseme tuseme haikuibwa bali ni maandiko pia ya Allah (there shall be no compulsion in religion 2:256) halafu baada ya hapo turudi kwenye thread yako ambayo inaujumbe safi ndani yake.

Embu nitajie mungu wa Torati aliagiza siku gani iwe ya Ibada alafu uje kwenye Mungu wa Quran yeye anasema siku ipi ni yaibada.
Hyo ni mfano mmoja tuu Kati ya mingi itakayokuamsha usingizini kuwa hao ni miungu wawili tofauti kabisa, mbingu na Ardhi.

Nakusubiri unitajie Kwa reference, ukishindwa nitakusaidia
 
ndugu muhammad aliwalingania watu dini(mila)ile ile ya manabii waliopita kama vile ibrahimu.

Allah anamuambia mtume..


[ AL I'MRAN - 95 ]
.قُلْ إِنَّنِي هَدَانِي رَبِّي إِلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ دِينًا قِيَمًا مِّلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا ۚ وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ

[ AL - AN-A'AM - 161 ]
Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo mila ya Ibrahim aliye kuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa waswashirikina"

hapo muhammad anaambiwa aseme kwamba hiyo dini ama njia aliyokuja nayo ndio njia ile ile iliyokuwa ya ibrahimu.

Sasa ndugu robert huwezi kuniambia kwamba muhammad alikuja na dini mpya wakati qurani imathibitisha dini aliyohubiri muhammad ni ile ile ya nabii ibrahimu.

Labda wewe ulete uthibitisho kutoka kwenye hii qurani kwamba muhammad alihubiri dini mpya tofauti na ile dini ya manabii waliopita ?

Waarabu kutokuujua uislamu hiyo sio hoja kwamba haukuwepo kabla yao,sisi leo kutokujua historia ya tanu sio hoja kwamba tanu haikuwepo.

Sisi leo kutokujua historia ya vita vya maji maji na washiriki wake hiyo sio hoja kwamba vita ya maji maji haikuwepo.

Kutokujua jambo haimaanishi halikuwepo ama halipo,kutokujua ni jambo moja na kuwepo ni jambo jingine ndugu robert.

Kutokuwatambua manabii hiyo sio hoja kwamba hawakuwepo manabii kabla yao,manabii walikuwepo akina ibrahimu,musaa,issa,yussuf na wengineo hata kama wengi wao hawakutambua historia hiyo muhammad ndio kaja kuendeleza pale paliposahaulika.

Nitajie sheria kuu 10 za Allah
Kisha linganisha na sheria kuu 10 za Yehova uone Kama zinafanana?
Alafu ukirudi tuendelee na mjadala
 
Kama wanasema ni kitabu Chao wakifwate , sio kukitoahoa. Kamwe hawawez kubadili maandiko ya quran
 
Yesu sio, Mungu.

Mungu ni mmoja tu na hakuna anayefafana naye
mkuu nimeshangaa kuambiwa kua yes ndio mungu duh. ila uzuri maandiko yanasema atakuja kuwakana kua yeye sio mungu walikua wanafanya makosa kumwabudu.
 
Embu nitajie mungu wa Torati aliagiza siku gani iwe ya Ibada alafu uje kwenye Mungu wa Quran yeye anasema siku ipi ni yaibada.
Hyo ni mfano mmoja tuu Kati ya mingi itakayokuamsha usingizini kuwa hao ni miungu wawili tofauti kabisa, mbingu na Ardhi.

Nakusubiri unitajie Kwa reference, ukishindwa nitakusaidia
Ikiwa wewe unaona ni mungu tufauti ...kama nilivyosema haya ni mambo ya kiimani halazimishwi mtu, ukitaka kuchambua kukinzana kwa aya zilizopo kati ya vitabu vyenu vya sasa na Quran ni kweli utakuta tofauti nyingi na ndo maana sisi hatufuati hizo modified copies. Mi sikulazimishi na wala wewe usinilazimishe. Turudi kwenye mambo ya Qatar ndo mada ya leo.
 
mkuu nimeshangaa kuambiwa kua yes ndio mungu duh. ila uzuri maandiko yanasema atakuja kuwakana kua yeye sio mungu walikua wanafanya makosa kumwabudu.
Ni vichwa maji...

Wanasema mke ni mmoja tu. Wana vimada kibao
 
😂😂😂
Ndio maana nikasema hapo ndipo baadhi yenu mnapokosea,

Dini yoyote lazima iwe na Siku ya Ibada katika wiki
Nenda kasome Torati ambaYO Mnaiamini utaona Siku ya Ibada ni ipi?

Alafu tofautisha Swala tano na siku ya Ibada.
Kamuulize Mwalimu wako akufundishe vizuri akuambie Kwa nini Waislam wanaabudu katika siku ya ijumaa.

Alafu ukirudi uje tujadili
Tatizo hujui halafu unajifanya unajua...kwanza kwa muktadha wa uislam hata kula na usingizi ni ibada,wewe hiyo ijumaa ni siku ya kuabudu kwa waislam umetoa wapi!?..ilhali kila siku unasikia adhana asubuhi,mchana, alasiri,jioni na usiku kwamba waislam wanaitana Ibadan!?..Kama una hamu ya kuuongelea uislam (Jambo ambako umeonesha hivi karibuni) basi nakushauri ungejifunza kwanza uislam
 
Back
Top Bottom