Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Tufanye ni hivyo ulivyosema.
Lakini ndio amkaushie Baba mlezi hata kumshukuru?

Sio mimi pekee.
Minong'ono ilizuka hata kwa Watu wengine
Hizo nyumba za kila mwanamme anaeingia mtoto anaambiwa "mwamkie baba'ko" unategemea zitakuwa na kujali?
 
Uislam mwema sana.

Baba ni yule aliyekuzaa kwa kuoana na mama'ko kwa ndoa tu ukazaliwa wewe. Nje ya ndoa hata kama ni wewe uliyemtia mimba mama'ke jina la baba wa huyo mtoto haliwi lako. Hawezi kukuriyhi, huwezi kumuoza na wala huna jukumu nae lolote la kisheria.

Ukifata Uislam huwezi kukutana na hizo tafrani za kijinga, labda uwe Muislam jina tu na siyo dini.
 
Elewa Damu ni nzito kuliko maji. Ukielewa maana ya huo msemo wala hutateseka na vitu vidogo vidogo kama hivyo.
 
Kuna watu huwa hawajitambui. Kamwe usisahau fadhila alizokutendea mtu. Kwani angetoa shukrani kwa baba mlezi angekufa? Ni ujinga kutothamini mchango wa mtu kwenye maisha yako.
 
Wapi video?
 
Mpumbavu ni yule aliyeingilia mahusiano ya watu.Kapata anachostahili.
 
Mwanaume yeyote anayeoa single mother anakuwa na changamoto ya afya ya akili.
Yakitokea mambo kama haya anakuwa kapata haki yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…