Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
 
Mara zote nimekuwa nikisema, mtu anayelawiti watu na anayelawitiwa, ukiwaangalia tu hata sura zao na mionekano yao , haiba zao, huwa inaonesha kwamba, wanaweza kufanya hivyo bila ya maswali mengi!

Usiniulize suala la mfilaji kuwa na pesa nyingi!

Pesa hazinaga uchaguzi wa sura! Popote huwa zinaenda, ila ufilaji na ufilwaji, huendana na mwonekano, mtu smart bonge la mtu, bonge la sister, hawawezi kufanya upumbavu huo, uchafu humfuata mtu mchafu!
 
Huyo binti ni wumbwa sana.keshatatuliwa na mi gogo ya mnazi miaka ya nyuma anakuja kumtupia zigo RC.
Umesikiliza maelezo yake yote? Hata kama alishafanyiwa hayo siku za nyuma jee ni haki aendelee kufanyiwa hivyo sasa? Na jee ni kweli RC amemfanyia kitendo hicho au hapana? Ukweli utajulikana mahakamani hivyo usimhukumu huyo binti kuwa anatumiwa kumhujumu aliyekuwa RC ,tuiachie mahakama kazi hiyo.
 
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitenfo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Mkuu wa MKoa wa mwanza pia anastahili kufurushwa, hastahili kuwa RC tena, kumbe alikuwa anaizima iyo issue? ina maana Samia anafurahia mabinti hawa wakilawitiwa na RC wa mwanza anataka kuificha? ndio hivyo aliwatuma wakawe wanafanya kazi?
 
Mara zote nimekuwa nikisema, mtu anayelawiti watu na anayelawitiwa, ukiwaangalia tu hata sura zao na muonekano wao huwa unaonesha kwamba wanaweza kufanya

Usiniulize suala la mfilaji kuea na pesa nyingi!

Pesa hazinaga uchaguzi wa sura! Popote huwa zinaenda, ila filaji na ufilwaji, sura hujionesha tu
Hii kali.
Kwahiyo ukitembea barabarani unawatambua kabisa huyu mfiraji/mfirwaji
 
Umesikiliza maelezo yake yote? Hata kama alishafanyiwa hayo siku za nyuma jee ni haki aendelee kufanyiwa hivyo sasa? Na jee ni kweli RC amemfanyia kitendo hicho au hapana? Ukweli utajulikana mahakamani hivyo usimhukumu huyo binti kuwa anatumiwa kumhujumu aliyekuwa RC ,tuiachie mahakama kazi hiyo.
Unaelezea hii mi-nyumbu itakuelewa? Huwa wanatumia back-bottom kufikiri.
 
Back
Top Bottom