Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Umesikiliza maelezo yake yote? Hata kama alishafanyiwa hayo siku za nyuma jee ni haki aendelee kufanyiwa hivyo sasa? Na jee ni kweli RC amemfanyia kitendo hicho au hapana? Ukweli utajulikana mahakamani hivyo usimhukumu huyo binti kuwa anatumiwa kumhujumu aliyekuwa RC ,tuiachie mahakama kazi hiyo.
UWT wamezoea kulindana
 
wanaume tuweni makini ndugu zangu, imagine, kabinti kama haka, kanamwita RC "NAMWANDA", pamojana phd yake, na cheo chake, na walinzi wake, kila kitu, binti anamwona wa kawaida tu kwasababu walishaonana sehemu za siri. tujiheshimu,
 

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.


Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitenfo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Kumbe bado haijafika mahakamani duu ila ni funzo kwa wengine wanaoendekeza mapenzi, ona sasa shule amesitisha, mzazi alipewa 3m kama kichwa cha habari kinavyojieleza
 
napenda sana jamiiforums members werevu kama wewe mkuu na siyo hii mijuha mingi iliyochangia kwa kutetea hapa
Watu wanawazaga negative tuu kichwani hamna kitu na wengi wanashindwa kufikilia yaan kiufupi wanafata mkumbo....

Ndo mana kule nimesema watu kichwani ni tope sijui wanakua wameshiba sana au shida ni nn aisee
 
Back
Top Bottom