Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Hiyo kesi haifiki popote Rais Samia amemtoa huyo jamaa kwenye ukuu wa mkoa ili kupunguza kelele za raia muda sio mrefu atapewa kazi nyingine.

Hapa huwez kuwaona wale vibaraka sijui umoja wa wanawake wa CCM, watetezi wa haki za binadamu nk waliokuwa wanamuandama Makonda kisa tu kamsifia mkewe hadharani
 
hivi DPP anasubiri nini kufungua hii kesi ya ulawiti mahakamani? nini kinasubiriwa, mbona kesi zingine zinaenda haraka sana? au hii kwa kuwa ni ya mkuu wa mkoa. imagine, hadi CCTV footage zipo.
 

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.


Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitenfo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Mama anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom