Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Ila Kiswahili kinazidi kuwa kigumu sana. Uongeaji wa binti ni wa hovyo. Kujieleza kama mwanafunzi wa Chuo Kikuu. Kiswanglish kingi.

L na R ni mtihani mzito.
binti anavyoonekana wazi ni hana maadili, ni mwanachuo mdangaji. ila hata kama yupo hivyo, sio haki kwamba alawitiwe. binti anasema namwanda alimwekea pesa mama kwenye account, polisi waende wakachukue bank statement ya account ya mama, ushahidi mwingine huo amezidi kujipiga kitanzi.
 
nina uhakika huyu rc mlawiti kama akipata tu wakili wa kujitambua tayari hii kesi anaipangua haraka na anashinda
Wabongo wengi hawajui masuala mengi ya haki zao, hata waliosoma. Bahati mbaya wamejawa ujuaji kama huyu mleta mada. Tazama alivyo mweupe kichwani lakini tayari kashatoa hukumu ya kesi
 
yaani nikutolee mahari yangu, nikulishe, nikuvalishe na bado nikitaka kukuweka / kukukaza niombe ruhusa kutoka kwako / kwake?
Aisee usimfireeee na mapenzi hayalazimishwi ni wanandoa gani hamna mpangilio mnakulana kama mbwa kila kitu kina mipango mahari kama umelipa ni wewe
 
waelimishe hawa wapuuzi ndugu. ukweli ni kwamba huyu dada alikubali ila alipoona hela ndogo ndiyo akaamua kulisanua
Ndio na ukute huyo dada kuna watu nyuma yake wana mshinikiza afanye yote hayo..

Kuna mambo mengine yamekua kisiasa hapa alafu mijitu inashadadia ujinga tuu..

Awajua hata hao dada poa wanao wachukua huko river wanaweza kuwageuka hivo hivo mtu ukabaki unashangaa
 
Bado yuko mwaka wa kwanza . Cha msingi kesi ifike mahakamani , binti atendewe haki . Ulawiti ni kosa .
na ikifika mahakamani, kwa ushahidi huu nakuhakikishia rc anafungwa.

1. kuna ushahidi wa binti/mtendewa umenyooka kama anavyoongea hapo.

2. kuna ushahidi wa cctv footage

3. kuna ushahidi wa bank statement akijaribu kumhonga mama wa binti, polisi waende bank wakachukue statement ya account ya mama wa binti, anasema alimwekea 3m. ili tuone kama RC atasema aliziweka za mahali au z akitu gani.

4. kuna ushahidi wa vipimo PF3

5. kuna ushahidi wa wanafunzi wenzake binti waliomwona binti anarudi ananuka kinyesi, pia ushahidi wao namwanda alipokuwa anatumia simu zao kuomba aongee na huyo binti.

6. na ushahidi mwingine mwingi.

NAMWANDA AMEISHA. HII TABIA YA WAKUU WA MKOA IKOMESHWE.
 
Back
Top Bottom