Nyie ndio wale wa kupewa picha habari nzima mnaitunga
facts tulizopata ni hizi, halafu sema tumetunga. na facts hizo zimeongelewa hadi na binti.
1. binti alikuwa mpenzi wa x-rc
2. kuna siku rc aliomba sodoma binti akagoma na kukata mawasiliano (wakagombana)
3. kuna siku rc kaja mwanza, akampigia kua aje amwombe msamaha kutokana na kitendo kilichofanya waachane cha kuomba tigo. binti kaja.
4. wameingia kwenye gari akajaribu kumwingilia akagoma, binti kakimbilia siti ya nyuma, akamfuata huko akamtishia kuwa hata apige kelele hatasikiwa, amelock gari kelele zingetokea wapi, na ana walinzi wapo karibu wanaojua yeye anamfanya hivyo atulie tu, binti kalawitiwa kinguvu hadi jamaa kamaliza haja zake.
5. binti kawekewe pesa, hakuchukua, kaondoka, kampigia mamake kwamba rc kamlawiti.
6. mamake kamwambia karipoti polisi, ndio ile siku issue imesanuka mitandaoni na rc kusimamishwa kazi.
7. binti kapelekwa kwa mkuu wa mkoa mwanza, akamwambia akafute kesi.
8. binti kapigiwa masimu mno na rc na wengine kuomba radhi, akagoma.
9. kuna siku kapelekwa golden crest hotel pale na askari, wakamtaka anakili maelezo ya ile barua iliyosambaa, barua ilipelekwa polisi, na polisi waligoma kuipokea kwani hawakuiamini kama kaandika yeye.
10. mamake alishaanza kumshauri kuwa ili asiendelee kuwa kwenye hatari amsamehe tu.
11. rc kamrubuni mamake hadi kutaka kumpa 5m, mama kaingia line akatumbukiziwa kwenye account 3m.
12. jua kuwa, binti alipimwa na kupata pf3, akaonekana alilawitiwa kweli. hilo halina ubishi.
13. jua kwamba, pale rock city kulikuwa na cctv camera, footage zake zitafutwe.
14. jua kwamba, kama polisi watakuwa walikuwa vizuri, watakuwa walikusanya nguo, za binti, na watakuwa walipeleka sampuli kwa mkemia. hilo sina uhakika kama linawezekana.
kwa ushauri wangu, chukua notes hizi kampe X-RC wako aanze kujiandaa kwenda jela miaka 30. kati ya kesi za sexuala buse niliwahi kutetea washitakiwa mahakamani, hii naona ni ngumu zaidi, ushahidi upo mwingi zaidi kama prosecution watauwasilisha vizuri Mahakamani.