Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Mnaomtetea huyo binti mna matatizo,
Hamuoni amevuna alichopanda?!
Hakuwaona vijana wenzake chuoni mpaka achague kuwa kwenye mahusiano na huyo RC ambaye ana umri sawa na mzee wake!!

Nimekuwa mwanachuo kwa hiyo ninawafahamu vizuri mabinti dizaini ya huyo ambaye ulimwengu umeamua kumfunza.
Mbona husemi RC hakuona wanawake wakubwa wa umri wake..makosa yangetafsiriwa hivi unavyosema kusingekuwepo haja ya uwepo wa mahakama..kosa ni kosa bila kujali umri, hadhi ya mkosaji au mkosewaji..kwa hiyo vijana wa umri wake ruksa kulawiti..vijana wa umri wako wewe utwaruhusu wakulawiti!
 
hata malaya akiingiliwa kinyume na maumbile ni kosa la jinai. pia, unaongea kama wewe, RC na binti mlikuwa pamoja mle kwenye gari na wewe na binti nyote mliingiliwa kinyume na maumbile, wewe ni mzoefu na unamjua mzoefu mwenzio huyo binti ndio maana unaongea kwa uhakika hivyo. unachotakiwa kujua ni kwamba, binti hakuwa malaya, alikuwa kama mabinti wengine wowote tu wa chuo. hata kama wanafanya uzinzi, hawastahili kulawitiwa. ulawiti ni kosa, 30 years in prison. wewe kama ni kijana wa rc umetumwa ili kuonyesha binti ni malaya asisikilizwe, napenda kukueleza kwamba mkuu wako ana kesi kubwa sana, na atafungwa soon kwasababu kati ya kesi zenye ushahidi mwingi hii ni moja wapo, hapo alipo hana uwezo kwenda bank kufuta bank statement ya hela aliyomtumia mamake 3m, haifutiki, cctv footage pia zipo, ushaidi wa binti upo, kwanini asifungwe? watamtoa kafara tu na uchaguzi huu wa mwakani maccm huwa mnarukana.
We Dada mbona maelezo marefu hivo ,,unataka namm nkuzibue mtaro afu unishtk nimekulawiti kumbe shobo zako mwenyeweee
 
nina uhakika huyu rc mlawiti kama akipata tu wakili wa kujitambua tayari hii kesi anaipangua haraka na anashinda
Umeuliza swali kwamba kama walikuwa wapenzi kwanini waende mahakamani?

Jibu ni kwamba kumuingilia mwanamke kinyume cha maumbile ni jinai haijalishi ni wapenzi ama lah.

Hata ukimuingilia kinyume cha maumbile mke wako wa ndoa akikushtaki ni kosa la jinai.
 
Mbona husemi RC hakuona wanawake wakubwa wa umri wake..makosa yangetafsiriwa hivi unavyosema kusingekuwepo haja ya uwepo wa mahakama..kosa ni kosa bila kujali umri, hadhi ya mkosaji au mkosewaji..kwa hiyo vijana wa umri wake ruksa kulawiti..vijana wa umri wako wewe utwaruhusu wakulawiti!
kwamba vijana rika lake wamtatue hiyo sio natural offensive wakati akisha tatuliwa anakuwa marindaless.
 
and in reality, mke wa bashite sio mzuri kuliko yule dada. na hasa ukizingatia ametoka jamii inayokeketa. hakustahili kumdharau yule dada vile, labda tuseme ulimi uliteleza tu na anavyokuwaga hana uwezo mzuri wa kufikiri kabla ya kuongea.
Uzuri wa mtu uko machoni pake binafsi nasema mke wa Makonda ni mzuri kuliko yule dada Kila mtu abaki na anachokiamini.
 
Malaya ni malaya tu yeye na mama yake wote malaya na watakufa kwa umalaya wao

Lakin uyo sjui mkuu wa wilaya sjui wa mkoa na yy ni fala tu yan mteuliwa wa raisi unatembea na takataka izo mkoa/ wilaya nzima iko chini yako afu unaenda kutembea pussy ya aina iyo kwel
Wacha laana ya kutembea na kienyeji imtafune
 
Nyie ndio wale wa kupewa picha habari nzima mnaitunga
facts tulizopata ni hizi, halafu sema tumetunga. na facts hizo zimeongelewa hadi na binti.
1. binti alikuwa mpenzi wa x-rc
2. kuna siku rc aliomba sodoma binti akagoma na kukata mawasiliano (wakagombana)
3. kuna siku rc kaja mwanza, akampigia kua aje amwombe msamaha kutokana na kitendo kilichofanya waachane cha kuomba tigo. binti kaja.
4. wameingia kwenye gari akajaribu kumwingilia akagoma, binti kakimbilia siti ya nyuma, akamfuata huko akamtishia kuwa hata apige kelele hatasikiwa, amelock gari kelele zingetokea wapi, na ana walinzi wapo karibu wanaojua yeye anamfanya hivyo atulie tu, binti kalawitiwa kinguvu hadi jamaa kamaliza haja zake.

5. binti kawekewe pesa, hakuchukua, kaondoka, kampigia mamake kwamba rc kamlawiti.

6. mamake kamwambia karipoti polisi, ndio ile siku issue imesanuka mitandaoni na rc kusimamishwa kazi.

7. binti kapelekwa kwa mkuu wa mkoa mwanza, akamwambia akafute kesi.

8. binti kapigiwa masimu mno na rc na wengine kuomba radhi, akagoma.

9. kuna siku kapelekwa golden crest hotel pale na askari, wakamtaka anakili maelezo ya ile barua iliyosambaa, barua ilipelekwa polisi, na polisi waligoma kuipokea kwani hawakuiamini kama kaandika yeye.

10. mamake alishaanza kumshauri kuwa ili asiendelee kuwa kwenye hatari amsamehe tu.

11. rc kamrubuni mamake hadi kutaka kumpa 5m, mama kaingia line akatumbukiziwa kwenye account 3m.

12. jua kuwa, binti alipimwa na kupata pf3, akaonekana alilawitiwa kweli. hilo halina ubishi.

13. jua kwamba, pale rock city kulikuwa na cctv camera, footage zake zitafutwe.

14. jua kwamba, kama polisi watakuwa walikuwa vizuri, watakuwa walikusanya nguo, za binti, na watakuwa walipeleka sampuli kwa mkemia. hilo sina uhakika kama linawezekana.

kwa ushauri wangu, chukua notes hizi kampe X-RC wako aanze kujiandaa kwenda jela miaka 30. kati ya kesi za sexuala buse niliwahi kutetea washitakiwa mahakamani, hii naona ni ngumu zaidi, ushahidi upo mwingi zaidi kama prosecution watauwasilisha vizuri Mahakamani.
 
Malaya ni malaya tu yeye na mama yake wote malaya na watakufa kwa umalaya wao

Lakin uyo sjui mkuu wa wilaya sjui wa mkoa na yy ni fala tu yan mteuliwa wa raisi unatembea na takataka izo mkoa/ wilaya nzima iko chini yako afu unaenda kutembea pussy ya aina iyo kwel
Wacha laana ya kutembea na kienyeji imtafune
kulawiti hata malaya ni kosa la jinai, hapo hatuhukumu umalaya, tunahukumu ulawiti.
 
Mnaomtetea huyo binti mna matatizo,
Hamuoni amevuna alichopanda?!
Hakuwaona vijana wenzake chuoni mpaka achague kuwa kwenye mahusiano na huyo RC ambaye ana umri sawa na mzee wake!!

Nimekuwa mwanachuo kwa hiyo ninawafahamu vizuri mabinti dizaini ya huyo ambaye ulimwengu umeamua kumfunza.
wewe akili yako ni ndogo, si ukute na wewe unalawitiwa ndio maana unaongea hivi.
 
Malaya ni malaya tu yeye na mama yake wote malaya na watakufa kwa umalaya wao

Lakin uyo sjui mkuu wa wilaya sjui wa mkoa na yy ni fala tu yan mteuliwa wa raisi unatembea na takataka izo mkoa/ wilaya nzima iko chini yako afu unaenda kutembea pussy ya aina iyo kwel
Wacha laana ya kutembea na kienyeji imtafune
Hata kama ni malaya bado ni binadamu anastahili utu, haki na heshima na kutendewa km binadamu yeyote au wewe unavyotaka utendewe!
 
Huyu binti nae anabadilika kweli ile picha iliyotumwa humu kalikuwa kazuri kweli ila kwenye hii video bongee la kakizibo.Poor RC Magwanda sijui Maranda.
 
hakuna hata sehemu moja binti alikiri kupokea 10m. wapi, onyesha. alichosema ni RC alienda kwa mamake kampa 3m kwenye account yake. hiyo ya 10 unaitoa wapi. na hata kama alipokea, kosa la ulawiti lipo palepale. wewe unataka anyamaze kwasababu alipewa pesa? tutume watu wakulawiti wewe halafu wakupe pesa utakubali? au na wewe ndio walewale lgbtt
Sikiliza dakika 28:21 hadi 28:57
 
Back
Top Bottom