Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Huna ulijualo ktk mapenzi hayo,hao unaowaita smart ndio wanaongoza ktk hiyo michezo.kuta za chumba zinaficha siri nyingi.
 
Kwa maelezo ya binti hawajawahi kushiriki tendo nae kabla na walikosana kwa sabab RC alitaka kumlawiti toka awali..sikiliza vizuri, yeye RC ndie amemrubuni huyu mtoto. kwa cheo, hadhi na pesa.
 
Kwa maelezo ya binti hawajawahi kushiriki tendo nae kabla na walikosana kwa sabab RC alitaka kumlawiti toka awali..sikiliza vizuri, yeye RC ndie amemrubuni huyu mtoto. kwa cheo, hadhi na pesa.
OK, ila kama mtu mzima, utakuwa umeelewa tu kwamba haiwezekani wawe hawajawahi kuzini kikawaida, waligombana nini sasa kama hawajawahi kuwa pamoja? lazima walishakuwa pamoja jamaa kaomba sodoma binti kagoma.tangu lini mhaya tena mgalatia akakubali kulawitiwa? big up wahaya.
 
Hii kesi sio ya kushabikia sana , nchi hii nimegundua ambae atawahi kituo cha police toa tahalifa ndo mwenye haki , ila yule ambae ametendewa makubwa na kutowahi kituo cha police ndo shida, kuna jambo limetokea mkoa flan hivi alieumizwa hakufungua kesi ila alie humia ndo akaswekwa ndani kabla ya kupata dhamana , kwa makosa ya kijinai ambayo hakutenda .

Naanza amini wapo police wazuri tu sana na utu ila wapo wabaya sana ,

Serikali wekezeni kwa mapolisi wetu , sio kwamba mtu amekuja tu na kutoa hutuma wewe wakimbilia kufungua kesi utakavyo kwa kuwa labda ni ndungu au umepewa vijisent , tuishi ndugu ,jirekebishe ndugu polisi , binadam tunaishi kwa kutegemeana period, mheshim ,mahabusu maana bado hana hatia, maana nawe waweza kua mahabusu mtarajiwa kesho, watendeeni mema mahabusu na Mungu atakubariki
 

Ndugu Yesu Anakuja, ukicheka cheka na shetani, si tu uutashikwa na kunyonywa korodani zako na binti kama huyu ambaye si mwanao. Bali unaweza kujikuta unaingiwa na tamaa ya kuingilia kimwili hata wanao wa kuzaa au dada zako...!

Unadhani ulitaka amwiteje huyu mtu? Heshima ya kuwa addressed kama "Mheshimiwa........." ameipoteza mwenyewe kwa kuwa aliweza kumruhusu shetani kuingia kwenye fikra na mawazo yake...

Shetani hamwogopi mtu eti kwa sababu ana status fulani ktk jamii, anaitwa Mkuu wa Mkoa au Waziri fulani au Rais wa nchi au mchungaji au Askofu au nabii au mtume fulani nk nk. Yeye anaangusha na kumwaibisha yeyote hadharani bila kujali ni nani maana ndiyo kazo yake..

Imeandikwa mahali fulani ktk Biblia kuwa:

"......shetani haendi kwa mtu ili amfanye rafiki na kutunza heshima na uhai wake, bali huenda kwa mtu yeyote ili aharibu, achinje na kuua kabisa..."

Huyo tayari ameshachinjwa na kuwawa kisiasa na heshima yake yote imeshaharibiwa. Hata hivyo, bado anayo nafasi ya kukimbilia kwa Yesu Kristo na atasamehewa na kumwondolea fedheha na aibu yake maana ndiyo maana Yesu Kristo aliteswa, akasulubiwa msalabani kwa aibu akiwa uchi ili Nawanda asipate aibu..

Anaweza kuiona fursa hii? Sijui. Ila neema ya Mungu iwe juu yake popote alipo..!
 
umri wangu umeenda kidogo. ila miaka hiyo ya foolish, wapo niliotembea nao nimewazidi hadi 20, ila sijawahi kuwalawiti. namshukuru Mungu niliokoka, na uzinzi kwangu ni historia.
Sasa kumzidi mwanamke hadi 20 yrs ulivyokwishawahi kufanya si ndiko alikofanya mr. Rc, ingawa wewe tayari ushajiokokea?

Kupishana umri kwenye mahusiano ni jambo la kawaida.

Ukishajishusha kwa mwanamke ukampenda wakati wewe una umri mkubwa, 'shikamoo' hupewi, pumbu utachezewa na jina lako kavu utaitwa bila kujali idadi ya makunyanzi yako usoni.
 
ni kweli. hata legal and human rights centre? bi Kijo aliendaga wapi?
Haina maslahi kwao hizo NGO ukiona zinakomalia issue jua washaomba indorsement kwa Mzungu huko nyuma sasa kuonyesha kua kazi inafanyika ndio maonyesho kibao Ila hii haina maslahi unaigusa serekali hakuna Mzungu anataka kufanya hivyo
 
Huyu binti nae anabadilika kweli ile picha iliyotumwa humu kalikuwa kazuri kweli ila kwenye hii video bongee la kakizibo.Poor RC Magwanda sijui Maranda.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaan kalikua nini kazuri ukataka na Wewe ukakaa ????
 
Alikuwa SUA pia huyu mh..Comedian sana mwa mwi wa kipindi ni kucheka tu
 
Hata kama ni malaya bado ni binadamu anastahili utu, haki na heshima na kutendewa km binadamu yeyote au wewe unavyotaka utendewe!
Apewe 50 basi sio 35 km yule akatibiwe amechanwa nyuma yule msijifanye hamumuoni yule kachanwa mdomo kapewa 35 huyu kachanwa nyuma mpeni 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…