Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Bro,
You’re heartless! Umejiuliza binti ana miaka mingapi? Put yourself in her shoes.
Unajua alikuwa ana deal na mtu gani? Mkuu wa Mkoa…such powerful man. Imagine hiyo power imbalance. Imagine kwa nchi yetu kumuongelea mkuu wa mkoa, kama alivyofanya huyo binti..ni courage ya ajabu! Wengi hatuwezi.

Tuwe na utu kidogo. Imagine such experience inampata binti yako.

Wengi NAJUA humu Tupo concerned na jamaa kupoteza ukuu wa mkoa kuliko situation ya hiyo binti. Such is life in our poor communities.
 
Huyo binti hana akili ,adabu, maadili na hivyo hajatulia kijamii.
Tuwafundishe watoto wetu kuepuka mienendo mibaya badala ya kuwaonea huruma baada ya kupata matokeo ya tabia zao mbaya.
Hata hivyo, simtetei Nawanda kama alimlawiti, bali lazima tuangalie pande zote (kama Nawanda ana tabia ya kulawiti mabinti aache na pia mabinti wajiheshimu). Hii ni kesi au malalalamiko ya kipuuzi kabisa.
 
Ila jamani hawa viongozi wetu wajifunze kujiheshimu angalia mtoto anavyomuita mheshimiwa mzima etty nawanda jamaniiiii
 
Mkuu wa MKoa wa mwanza pia anastahili kufurushwa, hastahili kuwa RC tena, kumbe alikuwa anaizima iyo issue? ina maana Samia anafurahia mabinti hawa wakilawitiwa na RC wa mwanza anataka kuificha? ndio hivyo aliwatuma wakawe wanafanya kazi?
Ndani ya vyama huko hasa ccm... Majumbani, makanisani na misikitini mbona wengi mnafanyiwa/mnafanya...
Mbona mnakaaga kimya?
 
No kategwa kategeka Kwa kuhonga ml 3 Kwa family,

Zilipoisha wamerudi tena kuibua UPYA kesi.
Mtego wa maokoto na teuzi!
Hicho kiruka njia kitakuwa ni mwana uvccm. Kama honeypots wenzake wapo kwa ajili ya kugeuzwa geuzwa kukamilisha verifications na teuzi/tenguzi.
 
cctv footage ni corroborative evidence, kuonyesha kuwa kile anachokisema binti ni cha kweli kwamba alifika pale akaingia kwenye gari yake. gari ikionekana, aina ya gari, binti akiingia, ni ushahidi wa kuung amkono kile anachokisema kwa mdomo. kama ulishawahi kwenda mahakamani.
 
sidhani kama ulishawahi kukanyaga hata viunga vya mahakama tu. muwe mnatembelea hata kusikiliza tu mpate maarifa.

hoja hapa ni kwamba, hata wewe hapo ukienda pale riverside ukaokota mmoja, ukamwingilia kinyume na maumbile, ni kosa la jinai. miaka 30. kwa hapa Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni kosa, iwe mmekubaliana au hamjakubaliana. ni kosa. huyu binti awe kirukanjia, malaya au vyovyote vile, kama rc alimwingilia kinyume na maumbile, ametenda kosa na anastahili adhabu.
 
Alikuwa na mahusiano nae kwa miezi sita ila sasa anataka haki itendeke. Yaani wagawane mali walizochuma kwa miezi sita
 
Huyu binti akae kimya tu, kama ameshaliwa kiboga hizi kelele hazifuti ushenzi uliofanyika. Apotee jamii imsahau, mwisho wa siku nchi nzima itamjua sasa kuwa alibanduliwa marinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…