Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

CCTV haiwezi kuonesha kosa la kulawiti. Kufika eneo la taking na matendo mengine hayathibitishi.
Hata hivyo, katika hali ya kawaida, siyo rahisi mtu mzima kulawitiwa kama hajatoa ushirikiano (kwa kulazimishwa au hiari).
Eneo lenye watu wengi karibu, kulazimishwa inatia shaka, kama ilikuwa hiari (kinyume na maadili) basi kwa nini malalalamiko baadaye? Ni vigumu kuthibitisha.
Bro,
You’re heartless! Umejiuliza binti ana miaka mingapi? Put yourself in her shoes.
Unajua alikuwa ana deal na mtu gani? Mkuu wa Mkoa…such powerful man. Imagine hiyo power imbalance. Imagine kwa nchi yetu kumuongelea mkuu wa mkoa, kama alivyofanya huyo binti..ni courage ya ajabu! Wengi hatuwezi.

Tuwe na utu kidogo. Imagine such experience inampata binti yako.

Wengi NAJUA humu Tupo concerned na jamaa kupoteza ukuu wa mkoa kuliko situation ya hiyo binti. Such is life in our poor communities.
 
Huyo binti hana akili ,adabu, maadili na hivyo hajatulia kijamii.
Tuwafundishe watoto wetu kuepuka mienendo mibaya badala ya kuwaonea huruma baada ya kupata matokeo ya tabia zao mbaya.
Hata hivyo, simtetei Nawanda kama alimlawiti, bali lazima tuangalie pande zote (kama Nawanda ana tabia ya kulawiti mabinti aache na pia mabinti wajiheshimu). Hii ni kesi au malalalamiko ya kipuuzi kabisa.
 
Ila jamani hawa viongozi wetu wajifunze kujiheshimu angalia mtoto anavyomuita mheshimiwa mzima etty nawanda jamaniiiii
 
Mkuu wa MKoa wa mwanza pia anastahili kufurushwa, hastahili kuwa RC tena, kumbe alikuwa anaizima iyo issue? ina maana Samia anafurahia mabinti hawa wakilawitiwa na RC wa mwanza anataka kuificha? ndio hivyo aliwatuma wakawe wanafanya kazi?
Ndani ya vyama huko hasa ccm... Majumbani, makanisani na misikitini mbona wengi mnafanyiwa/mnafanya...
Mbona mnakaaga kimya?
 
No kategwa kategeka Kwa kuhonga ml 3 Kwa family,

Zilipoisha wamerudi tena kuibua UPYA kesi.
Mtego wa maokoto na teuzi!
Hicho kiruka njia kitakuwa ni mwana uvccm. Kama honeypots wenzake wapo kwa ajili ya kugeuzwa geuzwa kukamilisha verifications na teuzi/tenguzi.
 
CCTV haiwezi kuonesha kosa la kulawiti. Kufika eneo la taking na matendo mengine hayathibitishi.
Hata hivyo, katika hali ya kawaida, siyo rahisi mtu mzima kulawitiwa kama hajatoa ushirikiano (kwa kulazimishwa au hiari).
Eneo lenye watu wengi karibu, kulazimishwa inatia shaka, kama ilikuwa hiari (kinyume na maadili) basi kwa nini malalalamiko baadaye? Ni vigumu kuthibitisha.
cctv footage ni corroborative evidence, kuonyesha kuwa kile anachokisema binti ni cha kweli kwamba alifika pale akaingia kwenye gari yake. gari ikionekana, aina ya gari, binti akiingia, ni ushahidi wa kuung amkono kile anachokisema kwa mdomo. kama ulishawahi kwenda mahakamani.
 
Wewe unazungumza kishabiki na kiharakati. Mahakama iliyo huru haiwezi kumfunga.
Hivi hebu fikiri kidogo mtu atembee na mwanamke kisha anmtumie hela nama yake huyo mwanamke huoni kuwa hao ni malaya wawili mtu na mamaye wanaoshirikiana katika umalaya?

Kama unaku.mbuka rejea maelezo ya binti hili sakata likipoibuka mwanzo na maelezo yake ya sasa. ambapo kwa sasa anakiri kuwa walikuwa wapenzi kwa miezi sita lakini awali alidai kuwa aliitwa katika gari akabakwa.

Huyo ni malaya muuza tigo.

Ingia katika mtandao google watakuja wanawake kadhaa wanajitangaza wanauza tigo na namba za simu wameweka kabisa.
sidhani kama ulishawahi kukanyaga hata viunga vya mahakama tu. muwe mnatembelea hata kusikiliza tu mpate maarifa.

hoja hapa ni kwamba, hata wewe hapo ukienda pale riverside ukaokota mmoja, ukamwingilia kinyume na maumbile, ni kosa la jinai. miaka 30. kwa hapa Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni kosa, iwe mmekubaliana au hamjakubaliana. ni kosa. huyu binti awe kirukanjia, malaya au vyovyote vile, kama rc alimwingilia kinyume na maumbile, ametenda kosa na anastahili adhabu.
 
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Alikuwa na mahusiano nae kwa miezi sita ila sasa anataka haki itendeke. Yaani wagawane mali walizochuma kwa miezi sita
 
Huyu binti akae kimya tu, kama ameshaliwa kiboga hizi kelele hazifuti ushenzi uliofanyika. Apotee jamii imsahau, mwisho wa siku nchi nzima itamjua sasa kuwa alibanduliwa marinda.
 
Back
Top Bottom