Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hata kama walikuwa na mahusiano, kisheria sodomy ni kosa la jinai. hata wewe hapo ukimwingilia mkeo ambaye umefunga naye ndoa, kinyume, ni kosa la jinai. watu wagumu sana kuelewa kwasababu tupu zenu za nyuma mlishatoaga kwa mabazazi, hivyo hamuoni ajabu kwamba RC alimwingilia huyu binti. mnaamini kwasababu binti alikuwa anadanga basi alistahili kuingiliwa kinyume. mioyo yenu imejaa ushetani.Alikuwa na mahusiano nae kwa miezi sita ila sasa anataka haki itendeke. Yaani wagawane mali walizochuma kwa miezi sita
Yaani nawaonea huruma mnavohangaika na honeypots wa uvccm.cctv footage ni corroborative evidence, kuonyesha kuwa kile anachokisema binti ni cha kweli kwamba alifika pale akaingia kwenye gari yake. gari ikionekana, aina ya gari, binti akiingia, ni ushahidi wa kuung amkono kile anachokisema kwa mdomo. kama ulishawahi kwenda mahakamani.
Wewe mlawiti unashida gani? Binti yako akilawitiwa na kisha kupewa pesa ili anyamaze wewe utaona ni sawa tu? Muda wote umejikita kutoa hoja za kijinga kutetea huyu nawanda mlawiti, ni ndugu yako sivyo? Kumbafu zako weweAlikaa kimya. Kukiri amekiri baada ya kuulizwa mara 2. Ni wazi baadhi ya pesa alizopewa keshatumia, lakini cha ajabu bado anadai haki ifanyike? Hiyo inaleta mashaka makubwa sana na motive na credibility yake.
Huyo binti ni mnafiki tu, ni jambazi namba moja. Alienda mwenyewe kujiuza, kma yu mkweli, hakujuwa anachokwenda kufanyiwa? Au ni mara yake ya kwanza?Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
sio lazima apande ku testifySidhani kama huyu dada ataweza kupona kwenye Cross Examination. Her credibility will be destroyed.
Dada na Mama yake Lao mmoja.
Hata mimiRC naye zoba kweli. ka demu gani hako ka kumzuzua? itakua alikua domo zege wakati wa makuzi. yaani hiyo pisi mimi siili kwa pesa labda inipe bure.
Mr nimekuchana yote hayo ni matokeo ya uzembe kwa kisu unaona kabisa watu. Wale Hawakuwa wanaweza kazi waliokotwa watu wanaweza kazi huhakikisha kabisaSidhani kama upo sawa kichwani vinginevyo utakuwa umetumia kinywaji fulani hivi
Udini umekupofushaHuyo binti ni mnafiki tu, ni jambazi namba moja. Alienda mwenyewe kujiuza, kma yu mkweli, hakujuwa anachokwenda kufanyiwa? Au ni mara yake ya kwanza?
Katumika kijinga ajipatie pesa kiulaini.
Hakuna kesi hapo.
Umekosa hoja unakimbilia Uislam.Udini umekupofusha
Kukusaidia tu mimi mahakama ya rufaa pekee ndiyo sijawahi kufika lakini mpaka hatua ya kuomba leave kwenda court of appeal nimewahi kufanya kesi.sidhani kama ulishawahi kukanyaga hata viunga vya mahakama tu. muwe mnatembelea hata kusikiliza tu mpate maarifa.
hoja hapa ni kwamba, hata wewe hapo ukienda pale riverside ukaokota mmoja, ukamwingilia kinyume na maumbile, ni kosa la jinai. miaka 30. kwa hapa Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni kosa, iwe mmekubaliana au hamjakubaliana. ni kosa. huyu binti awe kirukanjia, malaya au vyovyote vile, kama rc alimwingilia kinyume na maumbile, ametenda kosa na anastahili adhabu.
Hakuna uchunguzi wowote wa kimaabara unaoweza kuthibitisha huu utumbo na hata kama kweli amezoea kuliwa tigo huo sio utetezi kwa Dkt Nawanda kwamba hakulawiti bali alipewa kwa hiyari tigo, kwa sheria za Tanzania watafungwa wote wawili.Uchunguzi wa kimaabara ukiwa impartial utathibitisha huyo malaya ni mzoefu wa kuliwa tigo na kama kufungwa anatakiwa afungwe yeye kwa kuruhusu kuliwa tigo
Umeongea jambo zuri sana na lenye mantiki hata mimi nakuunga mkono kwa hilo. Kama wazazi tunapaswa kuwalinda watototo wetu ila njia zinazotumiwa na waandishi wa habari pamoja na watu wanaotaka kumsaidia sijazipenda, niwasifu jeshi la POLISI kwa ujasiri walikuwa nao wakusimamia jambo hili bila kujali cheo cha mtu. Alichofanyiwa kama ni kweli nikibaya sana. Ila mimi njia zinazotumika kufikisha swala hili kwenye adhira nilakiudhalilishaji. Huyu siku moja anaweza kuja kuwa Raisi wa nchi je unadhani jamii itamchukuliaje Rais aliye Lawitiwa, pia anaweza kwenda kuomba kazi sehemu mbali mbali unadhani hao waajiri watamchukuliaje, hivi vitu viendeshwe kwa weledi mkubwa sana kwani vinaishi. Hili sakata linaweza kwisha kwa njia yoyote ile ila madhara yake yanaweza kudumu milele.Umesikiliza maelezo yake yote? Hata kama alishafanyiwa hayo siku za nyuma jee ni haki aendelee kufanyiwa hivyo sasa? Na jee ni kweli RC amemfanyia kitendo hicho au hapana? Ukweli utajulikana mahakamani hivyo usimhukumu huyo binti kuwa anatumiwa kumhujumu aliyekuwa RC ,tuiachie mahakama kazi hiyo.
Anasemaje niambie A up to C usifike Z mda ni mchache.
Śiwezi bisha km ni kweli au la but sometimes wananunuliwa hawa ila kuharibu cv za watu,,kingine possible demu kapigwa chini na mshua sasa anatunga hii kumkokoa. Kuna vitu vingi vimejificha sn hapa ukizingatia huu mchezo umeshika kasi sana kwa sasaBinti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
Kutetea watu wote wa dini yako kwa kila jambo hata liwe baya jinsi gani.Hivi Uislam wangu wewe unakukera nini?
Umenena vema mkuu.Umeongea jambo zuri sana na lenye mantiki hata mimi nakuunga mkono kwa hilo. Kama wazazi tunapaswa kuwalinda watototo wetu ila njia zinazotumiwa na waandishi wa habari pamoja na watu wanaotaka kumsaidia sijazipenda, niwasifu jeshi la POLISI kwa ujasiri walikuwa nao wakusimamia jambo hili bila kujali cheo cha mtu. Alichofanyiwa kama ni kweli nikibaya sana. Ila mimi njia zinazotumika kufikisha swala hili kwenye adhira nilakiudhalilishaji. Huyu siku moja anaweza kuja kuwa Raisi wa nchi je unadhani jamii itamchukuliaje Rais aliye Lawitiwa, pia anaweza kwenda kuomba kazi sehemu mbali mbali unadhani hao waajiri watamchukuliaje, hivi vitu viendeshwe kwa weledi mkubwa sana kwani vinaishi. Hili sakata linaweza kwisha kwa njia yoyote ile ila madhara yake yanaweza kudumu milele.
Sasa kama ni hivyo si ndiyo maana ameomba kesi iende mahakamani ili ukweli ukajulikane huko.Śiwezi bisha km ni kweli au la but sometimes wananunuliwa hawa ila kuharibu cv za watu,,kingine possible demu kapigwa chini na mshua sasa anatunga hii kumkokoa. Kuna vitu vingi vimejificha sn hapa ukizingatia huu mchezo umeshika kasi sana kwa sasa