Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Alikuwa na mahusiano nae kwa miezi sita ila sasa anataka haki itendeke. Yaani wagawane mali walizochuma kwa miezi sita
hata kama walikuwa na mahusiano, kisheria sodomy ni kosa la jinai. hata wewe hapo ukimwingilia mkeo ambaye umefunga naye ndoa, kinyume, ni kosa la jinai. watu wagumu sana kuelewa kwasababu tupu zenu za nyuma mlishatoaga kwa mabazazi, hivyo hamuoni ajabu kwamba RC alimwingilia huyu binti. mnaamini kwasababu binti alikuwa anadanga basi alistahili kuingiliwa kinyume. mioyo yenu imejaa ushetani.
 
cctv footage ni corroborative evidence, kuonyesha kuwa kile anachokisema binti ni cha kweli kwamba alifika pale akaingia kwenye gari yake. gari ikionekana, aina ya gari, binti akiingia, ni ushahidi wa kuung amkono kile anachokisema kwa mdomo. kama ulishawahi kwenda mahakamani.
Yaani nawaonea huruma mnavohangaika na honeypots wa uvccm.
 
Alikaa kimya. Kukiri amekiri baada ya kuulizwa mara 2. Ni wazi baadhi ya pesa alizopewa keshatumia, lakini cha ajabu bado anadai haki ifanyike? Hiyo inaleta mashaka makubwa sana na motive na credibility yake.
Wewe mlawiti unashida gani? Binti yako akilawitiwa na kisha kupewa pesa ili anyamaze wewe utaona ni sawa tu? Muda wote umejikita kutoa hoja za kijinga kutetea huyu nawanda mlawiti, ni ndugu yako sivyo? Kumbafu zako wewe
 
Ukifatilia vzr inaonesha wazi huyu Binti kalelewa malezi ya Mzazi mmoja.

Ndio maana hata familia na baadhi ya maamuzi yanafanyika as if gari limekosa direction, uwepo wa BABA ktk sakata hili ndio mngeona utaofauti wa kimaamuzi.

Mama mtu maamuzi ya kwanza yalikuwa sahihi.. kwamba KESI iishe kimya (Kiwango kilikuwa kiduchu.. angeomba hata 200m)

Huyu Binti kwa sasa na hata baadae hii kitu itamfata nyuma na ubaya jina lake ni 1 in 100.

Ukiliskia tu lazima ukumbuke hii ishu, majina ya kibantu.

Angetakiwa achukue Mzigo wa kueleweka atulie kimya aombe na privilege zingine ikiwemo kwenda nje ya nchi..

Mahakama inaweza toa hukumu ya miaka 30 Jela kwa Mkosaji, je yeye Binti anapata nini?

1- Kufedheheka
2- Usalama hafifu
3- Marinda hana
4- Future hana.
 
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Huyo binti ni mnafiki tu, ni jambazi namba moja. Alienda mwenyewe kujiuza, kma yu mkweli, hakujuwa anachokwenda kufanyiwa? Au ni mara yake ya kwanza?

Katumika kijinga ajipatie pesa kiulaini.

Hakuna kesi hapo.
 
Sidhani kama huyu dada ataweza kupona kwenye Cross Examination. Her credibility will be destroyed.
Dada na Mama yake Lao mmoja.
sio lazima apande ku testify

ushahidi wa daktari kwamba aliingiliwa unaweza kumuongelea

surveillance footage pia zinaonyesha aliingia ndani ya gari ya RC wa Simiyu

RC wa Mwanza anaweza kuwa subpoenaed kuja kusema ni kweli walijaribu kumpoza au hawakujaribu

RC wa Mwanza akibisha, binti atatoa phone records zinazoonyesha RC wa Mwanza akimpigia mara mia 4

Na akipanda ku testify akayumba kwenye cross exam bado ana nafasi ya kujieleza kwenye direct exam

Mwite malaya, mwite utakalo, lakini msichana ana guts and grit, na upeo wa ku face off against a nation, na li utamaduni la mfumo dume la miaka elfu mbili. Na kama kesi ikiendeshwa kwa haki, binti anaenda kuwa mkombozi wa mamilioni ya wanawake waliopondwa na kulawitiwa na wanaume in position of power.

Unamdharau mtoto wa mwenzio mpaka unadhani unaweza kumfanya tigo barabarani ndani ya gari
 
Huyo binti ni mnafiki tu, ni jambazi namba moja. Alienda mwenyewe kujiuza, kma yu mkweli, hakujuwa anachokwenda kufanyiwa? Au ni mara yake ya kwanza?

Katumika kijinga ajipatie pesa kiulaini.

Hakuna kesi hapo.
Udini umekupofusha
 
sidhani kama ulishawahi kukanyaga hata viunga vya mahakama tu. muwe mnatembelea hata kusikiliza tu mpate maarifa.

hoja hapa ni kwamba, hata wewe hapo ukienda pale riverside ukaokota mmoja, ukamwingilia kinyume na maumbile, ni kosa la jinai. miaka 30. kwa hapa Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni kosa, iwe mmekubaliana au hamjakubaliana. ni kosa. huyu binti awe kirukanjia, malaya au vyovyote vile, kama rc alimwingilia kinyume na maumbile, ametenda kosa na anastahili adhabu.
Kukusaidia tu mimi mahakama ya rufaa pekee ndiyo sijawahi kufika lakini mpaka hatua ya kuomba leave kwenda court of appeal nimewahi kufanya kesi.

Nimekujibu ingia goaggle tafuta malaya wa kutoa tigo utapata wadada wanajitangaza kuuza tigo na namna za simu wameweka uliishasikia wamefungwa? Kuna video katija mitandao za watu tena maarufu wakiliwa tigo umeishasikia wamefungwa? Jela watu wanalawitiwa na wengine kwa nguvu uliishasikia mtu kafungwa?

Uchunguzi wa kimaabara ukiwa impartial utathibitisha huyo malaya ni mzoefu wa kuliwa tigo na kama kufungwa anatakiwa afungwe yeye kwa kuruhusu kuliwa tigo
 
Uchunguzi wa kimaabara ukiwa impartial utathibitisha huyo malaya ni mzoefu wa kuliwa tigo na kama kufungwa anatakiwa afungwe yeye kwa kuruhusu kuliwa tigo
Hakuna uchunguzi wowote wa kimaabara unaoweza kuthibitisha huu utumbo na hata kama kweli amezoea kuliwa tigo huo sio utetezi kwa Dkt Nawanda kwamba hakulawiti bali alipewa kwa hiyari tigo, kwa sheria za Tanzania watafungwa wote wawili.
 
Umesikiliza maelezo yake yote? Hata kama alishafanyiwa hayo siku za nyuma jee ni haki aendelee kufanyiwa hivyo sasa? Na jee ni kweli RC amemfanyia kitendo hicho au hapana? Ukweli utajulikana mahakamani hivyo usimhukumu huyo binti kuwa anatumiwa kumhujumu aliyekuwa RC ,tuiachie mahakama kazi hiyo.
Umeongea jambo zuri sana na lenye mantiki hata mimi nakuunga mkono kwa hilo. Kama wazazi tunapaswa kuwalinda watototo wetu ila njia zinazotumiwa na waandishi wa habari pamoja na watu wanaotaka kumsaidia sijazipenda, niwasifu jeshi la POLISI kwa ujasiri walikuwa nao wakusimamia jambo hili bila kujali cheo cha mtu. Alichofanyiwa kama ni kweli nikibaya sana. Ila mimi njia zinazotumika kufikisha swala hili kwenye adhira nilakiudhalilishaji. Huyu siku moja anaweza kuja kuwa Raisi wa nchi je unadhani jamii itamchukuliaje Rais aliye Lawitiwa, pia anaweza kwenda kuomba kazi sehemu mbali mbali unadhani hao waajiri watamchukuliaje, hivi vitu viendeshwe kwa weledi mkubwa sana kwani vinaishi. Hili sakata linaweza kwisha kwa njia yoyote ile ila madhara yake yanaweza kudumu milele.
 
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Śiwezi bisha km ni kweli au la but sometimes wananunuliwa hawa ila kuharibu cv za watu,,kingine possible demu kapigwa chini na mshua sasa anatunga hii kumkokoa. Kuna vitu vingi vimejificha sn hapa ukizingatia huu mchezo umeshika kasi sana kwa sasa
 
Umeongea jambo zuri sana na lenye mantiki hata mimi nakuunga mkono kwa hilo. Kama wazazi tunapaswa kuwalinda watototo wetu ila njia zinazotumiwa na waandishi wa habari pamoja na watu wanaotaka kumsaidia sijazipenda, niwasifu jeshi la POLISI kwa ujasiri walikuwa nao wakusimamia jambo hili bila kujali cheo cha mtu. Alichofanyiwa kama ni kweli nikibaya sana. Ila mimi njia zinazotumika kufikisha swala hili kwenye adhira nilakiudhalilishaji. Huyu siku moja anaweza kuja kuwa Raisi wa nchi je unadhani jamii itamchukuliaje Rais aliye Lawitiwa, pia anaweza kwenda kuomba kazi sehemu mbali mbali unadhani hao waajiri watamchukuliaje, hivi vitu viendeshwe kwa weledi mkubwa sana kwani vinaishi. Hili sakata linaweza kwisha kwa njia yoyote ile ila madhara yake yanaweza kudumu milele.
Umenena vema mkuu.
 
Śiwezi bisha km ni kweli au la but sometimes wananunuliwa hawa ila kuharibu cv za watu,,kingine possible demu kapigwa chini na mshua sasa anatunga hii kumkokoa. Kuna vitu vingi vimejificha sn hapa ukizingatia huu mchezo umeshika kasi sana kwa sasa
Sasa kama ni hivyo si ndiyo maana ameomba kesi iende mahakamani ili ukweli ukajulikane huko.

Wewe wasiwasi ni nini? Kinachoshangaza hii ni jinai kwanini hadi leo kesi haijafunguliwa mahakamani?
 
Back
Top Bottom