Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

1. Kwa nini hakumshitaki alipotaka kumlawiti mara ya kwanza?
2. Kwa nini alipotoka kituoni hakwenda nyumbani akaenda chuoni?
3. Ma RC wawili waende chuoni kukutafuta?
4. Yaani polisi wa kawaida apingane na RC(mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa)?
5. RC akitaka kuingilia jambo la kipolisi si atapitia kwa RPC?Na RPC akiagiza polisi yeyote hawezi kukataa.
NB: Kuna mkono wa siasa hapa au binti anatafuta utajiri ili aokoe familia yao.
 
Ila Kiswahili kinazidi kuwa kigumu sana. Uongeaji wa binti ni wa hovyo. Kujieleza kama mwanafunzi wa Chuo Kikuu. Kiswanglish kingi.

L na R ni mtihani mzito.
Uongeaji wa kimalaya huyo mfiraji Nawanda na huyu malaya mwenzie wote washenzi tu kwa upande wangu simuhurumii huyu malaya ni wazi ni mzoefu naweza pia kuamini anatumika kisiasa kwa muonekano wake na hata familia yake inaonekana ni ya kimalaya tu ndio maana huyo mama ake akachukua hzo mil3 kifupi hicho ki tusiime ni kimalaya pumbaf kabisa
 
Siku binti yako akilawitiwa utahoji hayo maswali
 
hapa kuna shaka kwa kweli, kwa mtazamo wangu huwenda RC kanasa kwenye mtego wa adui zake na kweli kafanya ..hivyo binti katumika kumuangamiza..
 


kukisikia. inapotokea mteuliwa wa rais anatenda hayo na kuna watu wanamtetea hapo ndipo tunaona jamii ilipofikia ni pabaya sana. Mungu aiokoe.
Wewe unajiita wakili lakini hujui mtoto anakomea umri gani, mtu mzima mwenye miaka 21 ambaye anaweza kuwa hata mbunge na waziri kwako ni mtoto! Unajiita mkristo lakini hujui mtu wa umri wowote anaweza kuoa au kuolewa na yeyote bila kujali umri mradi wawe na umri usiooungua miaka 18 ndani ya kanisa, tofauti ya umri haizuii watu kuoana, makanisa yote na misikiti mtu wa miaka 60 anaruhusiwa kuoa/ kuolewa na nrtu mwenye miaka 18.

Wote mnaomuona RC ana makosa kama nyinyi mnaoongozwa na jazba, chuki na kisasi na hamfai kushika ofisi ya umma..
Kuna wanawake hata ndani ya ndoa ambao kwa hiyari wanachepuka na kulawitiwa kwa hiyari lakini ndani ya ndoa hawalawitiwi. Mke kama huyo akiamua kumpakazia mumewe wa ndoa kuwa anamlawiti na imeishawahi kutokea haipaswi kukurupuka kuwa ni mumewe anayemlawiti kwa kuwa tu vipimo vinaonyesha analawitiwa.

Serikali iwe macho na watu kama nyinyi hantakiwi hata kushiriki uundaji wa katiba mpya maana mtatuletea katiba ya jazba, chuki ambayo itasambaratisha nchi na kusababisha vita.

Huyo binti ni ntu mzima mwenye uhuru wa kufanya maanuzi yawe mabaya au mazuri au halali kisheria au la. Akifanya maamuzi haitakiwi alaumiwe mwingine.
Kwa kuwa kulawitiana ni kosa kisheria ilitakiwa uchunguxzi ufanywe ili kujua huyo malaya ni mlawitiwa mzoefu na kana kushtakiwa ashtakiwe yeye kwa kuruhusu kulawitiwa kama kule Mtwara kuna mwanaume alifunngwa miaka 30 kwa kukiri kulawitiwa na hakuna walawiti waliofungwa naye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…