Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
1. Kwa nini hakumshitaki alipotaka kumlawiti mara ya kwanza?
2. Kwa nini alipotoka kituoni hakwenda nyumbani akaenda chuoni?
3. Ma RC wawili waende chuoni kukutafuta?
4. Yaani polisi wa kawaida apingane na RC(mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa)?
5. RC akitaka kuingilia jambo la kipolisi si atapitia kwa RPC?Na RPC akiagiza polisi yeyote hawezi kukataa.
NB: Kuna mkono wa siasa hapa au binti anatafuta utajiri ili aokoe familia yao.