Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

huu ni ukatili wa kijinsia pole sana Binti kupitia wewe mabinti wengine watajifunza tabia ya kuwa na mahusiano na watu wenye umri kama wa baba yao ambao inapelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili kama huu

Amekwambia alikuwa mpenzi wake, sasa kama alikuwa ni mpenzi wake je unyanyasaji uko wapi?
 
ser

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.


Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Serikali yote imejaa mafirauni...
 
na ikifika mahakamani, kwa ushahidi huu nakuhakikishia rc anafungwa.

1. kuna ushahidi wa binti/mtendewa umenyooka kama anavyoongea hapo.

2. kuna ushahidi wa cctv footage

3. kuna ushahidi wa bank statement akijaribu kumhonga mama wa binti, polisi waende bank wakachukue statement ya account ya mama wa binti, anasema alimwekea 3m. ili tuone kama RC atasema aliziweka za mahali au z akitu gani.

4. kuna ushahidi wa vipimo PF3

5. kuna ushahidi wa wanafunzi wenzake binti waliomwona binti anarudi ananuka kinyesi, pia ushahidi wao namwanda alipokuwa anatumia simu zao kuomba aongee na huyo binti.

6. na ushahidi mwingine mwingi.

NAMWANDA AMEISHA. HII TABIA YA WAKUU WA MKOA IKOMESHWE.

Sisi tunamwita kwa Yesu aje aokolewe.
 
Rc kakutana na kichaa 😄😄😄.....maana mtu unakubalije kitu kama hicho mitandaoni,sawa kakukosea na kesi ipo mahakamani si ungesubiri kuliko kufanya hichi ulichofanya....ona Sasa umeweka kumbukumbu ya milele😃😃😃.....katakuwa kalikuwa hakampendi au alikapa hela kidogo maana hichi ni kisasi live
 
hata bila ushahidi wa DNA kwenye shahawa, binti kama akieleza vizuri namna hiyo, ukawepo na ushaidi mwingine kama huo wa kutoa pesa hadi kuweka kwenye account ya mama, masimu kibao amepiga, cctv footage, inatosha kumpa 30 years.
Wewe unazungumza kishabiki na kiharakati. Mahakama iliyo huru haiwezi kumfunga.
Hivi hebu fikiri kidogo mtu atembee na mwanamke kisha anmtumie hela nama yake huyo mwanamke huoni kuwa hao ni malaya wawili mtu na mamaye wanaoshirikiana katika umalaya?

Kama unaku.mbuka rejea maelezo ya binti hili sakata likipoibuka mwanzo na maelezo yake ya sasa. ambapo kwa sasa anakiri kuwa walikuwa wapenzi kwa miezi sita lakini awali alidai kuwa aliitwa katika gari akabakwa.

Huyo ni malaya muuza tigo.

Ingia katika mtandao google watakuja wanawake kadhaa wanajitangaza wanauza tigo na namba za simu wameweka kabisa.
 
Ila huyu jamaa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu ni kiboko...

Na kwa maelezo ya binti huyu, ni wazi kuwa huyu Nawanda na mwenzake RC wa Mwanza ndugu Mtanda, kumbe kulawiti na kubaka vibinti vya chuo ni tabia yao komavu...

Ona tu RC Mtanda anavyojaribu kumtetea na kumlinda mwenzake. Huu ni ushahidi na uthibitisho tosha kuwa hawa ni washirika wa uhalifu huu wa kimaadili toka kwao wanaopaswa kulinda maadili mema....

Na nchi ikiwa na viongozi wasagaji (tunaambiwa bi mkubwa ana tabia hii) na wafiraji kama huyu RC Nawanda, Mtanda na yule aliyekuwa DC wa Hai - Kilimanjaro enzi za giza aliyehenyeshwa sana mahakamani hadi kwenda jela Sabaya Ole Lengai , basi tusitegemee kuwa kuna siku viongozi wa namna hii wanaweza kufanya maamuzi yoyote ya maana kuipeleka nchi mbele kwa sababu ya laana na mikosi iliyobebwa na roho ya shetani iliyomo ndani yao...

Ndiyo maana roho ya ushoga na usagaji kwa sasa iko wazi mno. Kumbe mambo haya yanaanzia ikulu na kushuka mpaka kwenye viofisi vya Wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya na sasa inaharibu jamii nzima...

Jamani tukatae na tuombe sana ili roho ya Jezebel iliyokalia kiti cha Ikulu ya nchi yetu ishindwe na kurudi kuzimu...!

Hebu jaribu tu kufikiri kwamba;👇🏻

Kumbe tendo hili alilifanyia palepale nje parking ya viwanja vya Rock City Malls - Mwanza mchana kweupe kwa ku - lock milango ya gari tu...!!???

Alikuwa na tamaa gani mbaya hivi isiyo na staha? Si wangeenda hotelini huko ampeti - peti na kumpa maneno matamu ya kimahaba? Si ajabu huyu binti angemtimizia kwa hiari yake na mambo yasingetoka nje na kumwangamiza kiasi hiki...!

Tuikatae roho ya Jezebel, roho ya ukahaba iliyokalia kiti cha ikulu ya taifa letu. Mama Samia anahitaji kuombewa sana ili akombolewe na kuokoka kuiepusha nchi yetu na majanga na mapigo toka kwa Mungu..!
Wakati mwingine ushirikina unchangia.
 
Kwa hio Serikali ndio imelawitiwa si ndio? Imeingiliwa kinyume na maumbile? Sheria ngumu hivi kumbe
Baadhi ya kesi serikali husimama yenyewe,huko nyuma serikali ilishasimama kwa niaba ya kanisa kwenye kesi ya mhadhiri wa kiislam dibagula aliyehubiri yesu si Mungu kanisa likanuna na kushitaki, serikali ilishindwa hata hivyo
 
Baadhi ya kesi serikali husimama yenyewe,huko nyuma serikali ilishasimama kwa niaba ya kanisa kwenye kesi ya mhadhiri wa kiislam dibagula aliyehubiri yesu si Mungu kanisa likanuna na kushitaki, serikali ilishindwa hata hivyo
Kwa hio kwenye hii kesi Serikali imelawitiwa au unamaanisha nini Mkuu?
 
Mnaomtetea huyo binti mna matatizo,
Hamuoni amevuna alichopanda?!
Hakuwaona vijana wenzake chuoni mpaka achague kuwa kwenye mahusiano na huyo RC ambaye ana umri sawa na mzee wake!!

Nimekuwa mwanachuo kwa hiyo ninawafahamu vizuri mabinti dizaini ya huyo ambaye ulimwengu umeamua kumfunza.


Yule RC ni kijana sio mzee.

Mwanachuo anatakiwa aolewe na ki juu ana wa makamo.

Binti mpaka amalize chuo kikuu anakua ni mzee wa kuolewa na mtu over 40 ndiye mwenye akili ya kuishi na Mbibi msomi wa chuo ambaye ameshakua sugu wa kuruka vihunzi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom