Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Miaka 21 ni mingi sana kutosha kufanya maamuzi.
Yaani wamekaa kwenye mahusiano kwa miezi 6 hajawahi kulawitiwa, lakini siku 1 tu ndipo kafanyiwa?na ndipo katoa taarifa?.
Waliosoma LOGIC na PROBABILITY watanielewa.
 
Dah mara paaarc mwanza nae mtegoni tenaaaa.
Kweli hapa nimekumbuka yale maneno ya mkubwa wangu flan aliwah sema .
"Mtu akimfanyia mwanangu mambo ya kifirauni namalizana nae moja kwa moja kama mbaya acha iwe mbaya yan bora kugawana majengo ya seri na kali"

Nimemsikiliza binti mwanzo tu mwisho,kwakuwa na mm nilishashughulika na issue znafanana na hzo najua namna zinakuwa.

Dah hata shetani ni katili ila kunakipindi nae anahuruma anaweza shawishi wenzake wasifanye ubaya flan dhidi ya jambo flan au watu.

Its so pain, dah bro kweli yale maneno yako ya kugawana majengo nmeyawaza sanaaaa
kama wanateteana, na wote wanatoka mkoa mmoja basi watakuwa wote wafiraji. ondoeni laana hizo kwenye maofisi ya serikali.
 
facts tulizopata ni hizi, halafu sema tumetunga. na facts hizo zimeongelewa hadi na binti.
1. binti alikuwa mpenzi wa x-rc
2. kuna siku rc aliomba sodoma binti akagoma na kukata mawasiliano (wakagombana)
3. kuna siku rc kaja mwanza, akampigia kua aje amwombe msamaha kutokana na kitendo kilichofanya waachane cha kuomba tigo. binti kaja.
4. wameingia kwenye gari akajaribu kumwingilia akagoma, binti kakimbilia siti ya nyuma, akamfuata huko akamtishia kuwa hata apige kelele hatasikiwa, amelock gari kelele zingetokea wapi, na ana walinzi wapo karibu wanaojua yeye anamfanya hivyo atulie tu, binti kalawitiwa kinguvu hadi jamaa kamaliza haja zake.

5. binti kawekewe pesa, hakuchukua, kaondoka, kampigia mamake kwamba rc kamlawiti.

6. mamake kamwambia karipoti polisi, ndio ile siku issue imesanuka mitandaoni na rc kusimamishwa kazi.

7. binti kapelekwa kwa mkuu wa mkoa mwanza, akamwambia akafute kesi.

8. binti kapigiwa masimu mno na rc na wengine kuomba radhi, akagoma.

9. kuna siku kapelekwa golden crest hotel pale na askari, wakamtaka anakili maelezo ya ile barua iliyosambaa, barua ilipelekwa polisi, na polisi waligoma kuipokea kwani hawakuiamini kama kaandika yeye.

10. mamake alishaanza kumshauri kuwa ili asiendelee kuwa kwenye hatari amsamehe tu.

11. rc kamrubuni mamake hadi kutaka kumpa 5m, mama kaingia line akatumbukiziwa kwenye account 3m.

12. jua kuwa, binti alipimwa na kupata pf3, akaonekana alilawitiwa kweli. hilo halina ubishi.

13. jua kwamba, pale rock city kulikuwa na cctv camera, footage zake zitafutwe.

14. jua kwamba, kama polisi watakuwa walikuwa vizuri, watakuwa walikusanya nguo, za binti, na watakuwa walipeleka sampuli kwa mkemia. hilo sina uhakika kama linawezekana.

kwa ushauri wangu, chukua notes hizi kampe X-RC wako aanze kujiandaa kwenda jela miaka 30. kati ya kesi za sexuala buse niliwahi kutetea washitakiwa mahakamani, hii naona ni ngumu zaidi, ushahidi upo mwingi zaidi kama prosecution watauwasilisha vizuri Mahakamani.
Una uhakika gani na hio story ya bint ? Ukitka kujua ni uongo ni pale alipohama siti ya mbele akaenda ya nyuma .
Kwann aingie siti ya nyuma badala ya kuondoka ?
 
Una uhakika gani na hio story ya bint ? Ukitka kujua ni uongo ni pale alipohama siti ya mbele akaenda ya nyuma .
Kwann aingie siti ya nyuma badala ya kuondoka ?
kwasababu RC aliloki mlango wa gari. au unataka avunje dirisha atoke? watu mbona mna akili ndogo kufikiri?
 
Wakili wake ,atapata tabu sana kama hatamweka sawa

Storyote nimesikia ,and and and ,I was down ,pesa sikujua shingapi
 
ametoka mbio huko kuja kutetea kwasababu tu amesikia huyu x-rc ni ustaadhi alhaji. kimeshamramba.
Hapa nimeelewa kwann unakaza fuvu ? Kumbe unaleta udini kwenye hii case ,,
Mkuu inaonyesha hujawai kusingiziwa case ,kuna watu wanajua kusuka ushahidi unajua ilo
Mbowe alivopewa case ya ugaidi uliifatilia ?
 
From psychological point of View .


Kademu ni kamalaya sugu kasokua na Haya.


Kesi za Ubakaji au kuingiliwa Nyuma, ZOTE NILIZOZISHUHUDIA, HAMNA MUHANGA ANAYEWEZA KUONGEA NAMNA HIYO .



Kademu kanaongea Huku kamefunga Macho, Hana Confidence ya kuface watu Kwa sababu ni uongo



KADEMU KAMETUMIKA KISIASA, NA PENGINE FAMILIA INAHITAJI FIDIA YAAN NI ZILE FAMILIA ZINAZOISHI KWA MCHONGO !.


ITOSHE KUSEMA, HAKATAKUA NA MAISHA MAREFU.
Dr mkuu wa mkoa uwempole
 
kwasababu RC aliloki mlango wa gari. au unataka avunje dirisha atoke? watu mbona mna akili ndogo kufikiri?
Acha kutufanya sisi hatujui magari ukiwa ndani ya gari unaeza fungua mlango wowote ule maana lock ziko ndani ya gari
 
Hata huyu kapewa hela aje kuongea huu upuuzi ili tusahau suala la UTEKAJI. Suala la Sativa limewatibua kabisa.
 
Acha kutufanya sisi hatujui magari ukiwa ndani ya gari unaeza fungua mlango wowote ule maana lock ziko ndani ya gari
kitu gani usichoelewa hapo, upo ndani ya gari na hawara, nje kuna walinzi wako, gari tintedk, haujui kama atakubaka, umekuja pale kuombana msamaha sio kugombana, kurudi siti ya nyuma ni kitu cha ajabu? na hata kama pengine alirudi siti ya nyuma ili wafanye ngono, kuingiliwa kinyume na maumbile ndicho sheria inachosema ni kosa.
 
Nimemsikiliza huyu Binti mwanzo mpaka mwisho kutokana na maelezo yake pamoja na "body language" nimegundua kuna vitu vingi sana ameficha, hajaweka wazi.

Mfano, kwanza anasema alilawitiwa ndani ya gari bila ridhaa yake. Lakini, hii inaacha maswali mengi sana, kama aina ya nguo alizokuwa amevaa, je alivua nguo mwenyewe au alivuliwa kinguvu au nguo zilichanwa?

Na kama alivuliwa nguo kinguvu kwanini hakupiga kelele? Akaingiziwa mashine nyuma hakupiga kelele? Maswali ni mengi labda huko mahakamani atatolea ufafanuzi

Pili, huyu binti hajui kabisa kujieleza. Ikiwa hii kesi itafika mahakamani wakili wa mtuhumiwa akicheza karata zake vizuri binti atapoteza hii kesi asubuhi na mapema.

Binafsi siungi mkono vitendo vya zinaa, uasherati, ufiraji na ufirwaji, lakini kuna ukakasi kwenye hii issue ya huyu Binti.
 
Hapa nimeelewa kwann unakaza fuvu ? Kumbe unaleta udini kwenye hii case ,,
Mkuu inaonyesha hujawai kusingiziwa case ,kuna watu wanajua kusuka ushahidi unajua ilo
Mbowe alivopewa case ya ugaidi uliifatilia ?
semeni ukweli, kwa akili ya kawaida, nani ana ujasiri wa kumsingizia RC? na akawa na confidence namna ile kama hawakuiingiliana kweli. na kwanini RC anatapatapa hadi kuhonga hela kama hakufanya icho kitu? wewe ukisingiziwa hapo utakimbilia kuhonga, au ungekasirika kiasi cha kuweka press hapo ujisafishe tena kwa evidence? unafikiri angesingiziwa Polisi wangemkamata kweli, RC aliyekuwa boss wao? fikiria kwa mapana.
 
dah, mbona akili ndogo hii. nenda google hapo sasaivi, google "PENAL CODE TANZANIA", download, halafu nenda kifungu cha 154. soma icho kifungu, kulawiti ni kosa linalokatazwa nchini Tanzania, hata kama binti angekuwa ni malaya, au binti angekuwa aliridhia, ni kosa kwa anayelawiti na anayelawitiwa.

BINTI SIO MALAYA, ni msichawa wa miaka 21 tena mwanafunzi toka familia masikini aliyerubuniwa na RC mwenye miaka 46. kwa lugha nyingine, RC amemzidi binti miaka 25.

sheria ya mikataba haiingiliani na ridhaa ya tendo, ingehusu kwenye ridhaa ya ndoa. ridhaa ya tendo la ulawiti hata kama ni mkeo, ukimlawiti ni kosa.

shida ninyi wengi mmelawitiwa sana kiasi kwamba kichwani mwako hata unapoongea unafikiri kwasababu binti alishazidi miaka 18 ana maamuzi yake basi ukimlawiti hutashitakiwa, na hii ni kwasababu ulawiti umejaa mioyoni mwenu na mmeharibi miili ambayo Mungu aliwapa ili muitinzena muitumie kwa heshima. mwogopeni Mungu.
Wewe kabla ya kujificha kwenye ulokole ulilawitiwa sana ndio maana una chuki nzito dhidi ya huyo RC. Wewe kama kumchukia mchukie aliyekubikiri. Halafu kama hukupelekwa nje kufanyiwa operesheni ya hiyo anus yako, basi kwa sasa umepumzika tu baadae utarudia tu kulawitiwa ila kwa sababu umujivisha koti la ukristo utakuwa unatoa kwax siri.

Halqfu hakuna asiyejua kuwa kwa sheria za Tanzania kulawiti au kulawitiwa ni kosa la jinai. Tunachosema sisi wengine huyo binti ni mlawitiwa mzoefu na analawitiwa kwa hiyari yake.
 
Wewe kabla ya kujificha kwenye ulokole ulilawitiwa sana ndio maana una chuki nzito dhidi ya huyo RC. Wewe kama kumchukia mchukie aliyekubikiri. Halafu kama hukupelekwa nje kufanyiwa operesheni ya hiyo anus yako, basi kwa sasa umepumzika tu baadae utarudia tu kulawitiwa ila kwa sababu umujivisha koti la ukristo utakuwa unatoa kwax siri.

Halqfu hakuna asiyejua kuwa kwa sheria za Tanzania kulawiti au kulawitiwa ni kosa la jinai. Tunachosema sisi wengine huyo binti ni mlawitiwa mzoefu na analawitiwa kwa hiyari yake.
NEVER would that happen in my life. Nadhani hapa tunajadili mtu mwenye miaka 46, MKuu wa MKoa, kulawiti binti wa miaka 21, awe binti malaya au sio malaya. yet, kuna watu wanatetea. wanaona ni kitu cha kawaida, wanataka RC asiwajibishwe mahakamani, ndio maana tunasema ninyi mtakuwa walawitiwa ndio maana mnaona kulawitiwa kwa binti ni kitu cha kawaida.

kwetu sisi hakika, icho kitu kinaitwa sodomy sio utamaduni wetu hutaki kabisa hata kukisikia. inapotokea mteuliwa wa rais anatenda hayo na kuna watu wanamtetea hapo ndipo tunaona jamii ilipofikia ni pabaya sana. Mungu aiokoe.
 

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.


Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Mara nyingi tumeandika kuhusu uovu, ula rushwa na uonevu wa RC Mwanza Said Mtànda lakini watu huwa wanadhani ni chuki binafsi. Katika Jambo Baya kama hili ambalo Rais kamfuta kazi mtuhumiwa RC Mwanza anatumika kulimaliza kimya kimya na bado hachukuliwi hatua.
 
Back
Top Bottom