Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23]
Kamteko ka walugulu kamenichekesha haswa baada ya weye kupotezea swali kwa kicheko 😂😂😂Baba mtumishi unacheka nini? [emoji23]
Kamteko ka walugulu kamenichekesha haswa baada ya weye kupotezea swali kwa kicheko [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ukisema atakushtaki? Acha uoga Tuletee kisa hicho tujifunze.Hamna hawajawahi kuniteka, sema kuna kisa nimekumbuka nilitaka nikiseme cha mtu wangu wa karibu. Sasa nimeogopa huenda yupo humu afu ikawa sio vzr ndiomana nikaishia kucheka [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ukisema atakushtaki? Acha uoga Tuletee kisa hicho tujifunze.
Miongoni mwa waliokimbia kimbikimbi kwenye picha bila kuangalia taarifa yenyewe....mlaaniweKana chuchu nzur [emoji39][emoji39]
Kimsingi hizi huduma zinatakiwa ziwe bure.Nenda cybercrime waende kuangalia mawasiliano yake ya mwisho kwenye kampuni ya simu yamkin utapata kitu, andaa hela walau kilo 3
Hawawezi kum track yeyote kuna watu hata uwatrack vip huwapatiUnajua humu watu hawana experience yoyote kazi ni kuropoka tu kutrack tena unaweza watumia hao hao ukiwa nyumban Wana kutrakia mtu yoyote ambae unashda nae uwe na hela tu.
Nan? Kakwambia ndugu yangu hakuna mtandao ambayo hawana details za mteja wao kumbuka hao ndo operator wako wa networkHawawezi kum track yeyote kuna watu hata uwatrack vip huwapati
Nasikitika sana app ya jf ninayotumia picha hazifunguki. Hivi ni mimi tu au tupo wengi?Kana chuchu nzur [emoji39][emoji39]
Kuna mambo ukiyajua ndi ndio utajua kuwa kuna watu huwezi kuwa track labda aamue mwenyewe, kigogo aliitiwa hadi waisrael na bado hawakumpata 🤣🤣🤣Nan? Kakwambia ndugu yangu hakuna mtandao ambayo hawana details za mteja wao kumbuka hao ndo operator wako wa network
Kigogo hayuko tanzania na kumbuka anawatu katika serikaliKuna mambo ukiyajua ndi ndio utajua kuwa kuna watu huwezi kuwa track labda aamue mwenyewe, kigogo aliitiwa hadi waisrael na bado hawakumpata [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una hakika gani kwamba kigogo hayuko tanzania?au unataka watu wawasiliane kwa mitandao ya vodacom ,ttcl na airtel na tigo ambayo wanajua route?Kigogo hayuko tanzania na kumbuka anawatu katika serikali
NeverUna hakika gani kwamba kigogo hayuko tanzania?au unataka watu wawasiliane kwa mitandao ya vodacom ,ttcl na airtel na tigo ambayo wanajua route?
mtu anakwambia kwa jinsi alivyo cheki picha kagungua binti hakua na amani kuishi na huyo mjomba....Wajuaji ni wengi jf 😂😂
Ashapata kwakepole sana ila miaka 19 ndio umri mabinti wanakua wayuwayu