suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
CORRECTUtaendelea kumpa na kumpa bila kumgonga mpaka ushindwe kumpa tena.
Kuomba hela ni moja wapo ya njia wanayotumia kuwakimbiza wanaume wasiowapenda.
Ukitoka nduki sababu ya kizinga, dhamira yake itakuwa imetimia ya kukukimbiza ila ukimpa hiyo hela inakuwa ni ushindi kwake na hutolipwa tena.
Jichanganye [emoji28][emoji28]Wakuu habari za muda huu,
Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.
Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.
Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.
Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Ila akija man unamkazia mpaka arudishe sio? F*cking idiot ikiwa unafanya hivyo, nyie ndio mnaoturudishia maendeleo yetu nyumaWe mpe tu. Sijuhi huyo mimi sikuwah kurudishiwaga. Sasa hivi demu akija na gia ya mkopo, kama ninayo Nampa tu. Akirudisha sawa asiporudisha sawa
Yes, you are rightAisee usije thubutu kumpa hio hela uyo dem hakutaki anataka tu mpunga wako na unaweza shangaa hata mzigo asikupe na asikulipe
Ni mtazamo wako, sisi ma don tunatafuta pesa ili tujifurahishe wenyewe na ndugu zetu, nyie makapuku ndo mnataka kuwaridhisha wanawake duuh!Toa pesa acha ngonjela mingi zisiZo na maana, Kaz ya mwanaume ni kutafta pesa na kumuhudumia mwanamke.
Wanaume tutafte pesa ata km sio nying ila tutafte pesa ili tuweze kuwaudumia tuwapendao.
Mwanaume tunakosa usingizi ili tunaowapenda walale na wapate usingizi iyo ndo nature
Mbususu Kwa laki aisee si Bora 40 yani laki kabisaaWala hauhitaji kuwa na mambo mengi mkuu, cha kufanya muite aje getho kuchukua hiyo pesa and then tengeneza mazingira ya kula Mbususu ipasavyo na baada ya hapo ndo umpatie hiyo pesa
Akikataa kutoa mbususu, ataondoka kama alivyokuja
Mkuu acha ujinga nakushauri uachane nae huyo , 100,000 ni kubwa mno kwauzoefu nilionao kwa wanawake najua huo amekutega mtego ili ujinaseWakuu habari za muda huu,
Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.
Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.
Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.
Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Kumpa laki ni kumsaidia tu ila lazima Mbususu iliweMbususu Kwa laki aisee si Bora 40 yani laki kabisaa
Wanawake wa kibongo ni nyoko,yani ukimtongoza kinachofuata utaambiwa kodi ya nyumba imeisha,luku imekata,kafiwa,kaibiwa yani full sinema...yani wana njaa kuliko kiumbe yeyoteWakuu habari za muda huu,
Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.
Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.
Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.
Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Huyo ni mdogo wake na papa msofeJuzi nilienda kwake ,alikataa nisiingie ndani kwa kuwa kwenye hiyo nyumba ataihama ndani ya siku hizi mbili, pia anadai nimpe pesa amalize mambo yake halafu ndio tuongee vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
AMLE KWA LAKI, KWANI NI BIKRA?Muite gheto/gesti umle ndo umpe
Yaan umpe hela ndo muongee vizuri [emoji1][emoji1][emoji1]Juzi nilienda kwake ,alikataa nisiingie ndani kwa kuwa kwenye hiyo nyumba ataihama ndani ya siku hizi mbili, pia anadai nimpe pesa amalize mambo yake halafu ndio tuongee vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]Muambie mambo yako hayako sawa,mpe tu elfu 30 si kwa kumkopesha,na hiyo 30 aje kuichukulia ghettousitoe jiwe 1 kizembe usawa huu,
Lazma akupe mbunye kwa gharama ya laki hio then cash sahau😅
Hahahahhahah ungeishia kuteseka kama mtoa mada tu maana bila cash hata salamu tu kuitikiwa ni ngumu!Ningezaliwa mwanamme ningechakata hizi nyuchi na singetoa mia *****.