Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Wanaume wanaotoa hela kwa wanawake kama silaha ya kupendwa ni mazezeta na mara nyingi unakuta ni wanaume wezi makazini au wauza unga. Utampaje mwanamke hela wakati hana mchango wowote maishani mwako? Kwangu mimi mwanamke yeyote omba omba hana thamani kwangu na simpi muda wa kuongea nami hata siku moja.
 
Kabisa mkuu mimi pia nina binti yangu , kama baba sitatamani awe namna hii ndio maana napambana sana angalau aje asimamie miradi ya baba yake, binti yangu mpka sasa hawezi kuja kuwa na mtazamo kama huu hata nikifa leo.
Kwa kweli inasikitisha kuona wasichana / wanawake hawataki kiujituma kimaisha ila wako bize tu kujiuza mitandaoni na kutafuta wazungu
 
Hili kungwi malaya limekuja tena kuwafundisha wake zetu umalaya kama wake .

Tena linawavutia na huko WhatsApp ili liwafunze vizuri kigagula hili linatuharibia wanawake zetu
 
Tatizo wanawake wanadanganyana sana, wanafikiri kuwa na mwanamme ndiyo kutoka kimaisha.......wakishachezewa na kuwa expired wanaanza kuchukia kila mwanamme wakati makosa ni yao wenyewe. Mwanamme gani anataka kuchezewa?
 
Huyu Kungwi yuko kazini kupotosha wanawake !!!

Thamani ya mwanamke ni heshima yake, pesa zinapoingia thamani inaaguka vibaya depreciation to 0% ni haraka sana.
 
biashara ya mapenzi ni kitu mbaya sana kukiwa na wizi, udokozi au dhuluma.

kwa mfano,
ni majuzi tu huko njombo, nilisoma kwenye vyombo vya habari, ati mumama moja wa miaka50, amenyofolewa utumbo kupitia kwenye kijambizi chake na kijana mdogo tu wa miaka33.

haikujulikana bado huyo kijana aliwekeza kiasi gani na walitofautiana kwenye nini hasa.

Hata hivyo, chanzo na sababu kuu ya yote hayo ni biashara na uwekezaji katika mapenzi.

so,
ni muhimu zaid kuwekeza kwenye upendo wa kwenye. Masuala ya hali na mali yawe ni ya ziada tu 🐒
 
Mnadanganyana sana, usikute wewe mleta mada hauna hata mtu wa kukuwekak mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…