Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya

2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia akili ya kuzaliwa

3. kuna wanawake hapa mjini hawajui shida ya hela, wanapewewa hela hata kabla hawajatoa K yao kwa mwanaume

4. kuna wanawake wame-investiwa heavely na wanaume wanaowapenda, ndio wametoa K zao

sasa utachagua wewe, kulia au kucheka

ukitaka kucheka nifuate inbox nikufundishe jinsi ya kujua thamani yako kama mwanamke, jinsi ya kucheka kwenye swala zima la mapenZi na kupendwa. Kilio utasikia kwa majirani
Wanaume wanaotoa hela kwa wanawake kama silaha ya kupendwa ni mazezeta na mara nyingi unakuta ni wanaume wezi makazini au wauza unga. Utampaje mwanamke hela wakati hana mchango wowote maishani mwako? Kwangu mimi mwanamke yeyote omba omba hana thamani kwangu na simpi muda wa kuongea nami hata siku moja.
 
Kabisa mkuu mimi pia nina binti yangu , kama baba sitatamani awe namna hii ndio maana napambana sana angalau aje asimamie miradi ya baba yake, binti yangu mpka sasa hawezi kuja kuwa na mtazamo kama huu hata nikifa leo.
Kwa kweli inasikitisha kuona wasichana / wanawake hawataki kiujituma kimaisha ila wako bize tu kujiuza mitandaoni na kutafuta wazungu
 
Hili kungwi malaya limekuja tena kuwafundisha wake zetu umalaya kama wake .

Tena linawavutia na huko WhatsApp ili liwafunze vizuri kigagula hili linatuharibia wanawake zetu
 
Watafute cha kufanya, ndoa sio kazi wala biashara..

Unakuta binti kamaliza chuo fresh Ila hataki kazi wala biashara, 24/7 anajipost mtandaoni kimitego na kwenda sehemu classic kuwinda wazungu. Hii ni aibu

Wafundisheni wadogo zenu kuwa financially independent maana bila hivyo wataburuzwa na kunyanyaswa
Tatizo wanawake wanadanganyana sana, wanafikiri kuwa na mwanamme ndiyo kutoka kimaisha.......wakishachezewa na kuwa expired wanaanza kuchukia kila mwanamme wakati makosa ni yao wenyewe. Mwanamme gani anataka kuchezewa?
 
Huyu Kungwi yuko kazini kupotosha wanawake !!!

Thamani ya mwanamke ni heshima yake, pesa zinapoingia thamani inaaguka vibaya depreciation to 0% ni haraka sana.
 
1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya

2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia akili ya kuzaliwa

3. kuna wanawake hapa mjini hawajui shida ya hela, wanapewewa hela hata kabla hawajatoa K yao kwa mwanaume

4. kuna wanawake wame-investiwa heavely na wanaume wanaowapenda, ndio wametoa K zao

sasa utachagua wewe, kulia au kucheka

ukitaka kucheka nifuate inbox nikufundishe jinsi ya kujua thamani yako kama mwanamke, jinsi ya kucheka kwenye swala zima la mapenZi na kupendwa. Kilio utasikia kwa majirani
biashara ya mapenzi ni kitu mbaya sana kukiwa na wizi, udokozi au dhuluma.

kwa mfano,
ni majuzi tu huko njombo, nilisoma kwenye vyombo vya habari, ati mumama moja wa miaka50, amenyofolewa utumbo kupitia kwenye kijambizi chake na kijana mdogo tu wa miaka33.

haikujulikana bado huyo kijana aliwekeza kiasi gani na walitofautiana kwenye nini hasa.

Hata hivyo, chanzo na sababu kuu ya yote hayo ni biashara na uwekezaji katika mapenzi.

so,
ni muhimu zaid kuwekeza kwenye upendo wa kwenye. Masuala ya hali na mali yawe ni ya ziada tu 🐒
 
1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya

2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia akili ya kuzaliwa

3. kuna wanawake hapa mjini hawajui shida ya hela, wanapewewa hela hata kabla hawajatoa K yao kwa mwanaume

4. kuna wanawake wame-investiwa heavely na wanaume wanaowapenda, ndio wametoa K zao

sasa utachagua wewe, kulia au kucheka

ukitaka kucheka nifuate inbox nikufundishe jinsi ya kujua thamani yako kama mwanamke, jinsi ya kucheka kwenye swala zima la mapenZi na kupendwa. Kilio utasikia kwa majirani
Mnadanganyana sana, usikute wewe mleta mada hauna hata mtu wa kukuwekak mjini.
 
Back
Top Bottom