Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Mpe ruhusa na baraka zako lakini mwambie akikwama arudi hapo ndio nyumbani kwa wazazi wake
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
mtoto ana umri gani je ni umri wa kujitegemea ama bado uner 18?
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
mpe uhuru kama yuko above 18

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee
Huo umri unatuchanganyaa wadada

Mimi mama angu amekataa katakata,, kaka zangu ndio hawataki kusikia mimi kutoka nyumban kwenda kupanga

Nilivyokuwa namaliza chuo nilisema sitokaa nyumbani nitaenda kupanga hiyo ni kutokana na kushawishiana na warafiki wenzangu kila mtu anasema anapangaa…

Sasa nilivyomaliza chuo kazi enyewe hakuna hela ya vocha mpk nipewe kusuka yaani kila kitu nikajisemea kimoyomoyo hivi kweli naenda kupanga nitaishijee si nitaishiaa kutumiwa na wanaumee tu

Maana hakuna mtu wa familia yangu angenilipia kodi

So now nimejitulizA tu na hivi ni lastborn nahama mikoa nikijisikia kwenda kwa dada simu moja nauli inatumwa huyooooooo navukaaa mikoaa hivyohivyo na kwa kaka zangu

Na nishajiapiza sitoenda kupanga chumba hata siku moja labda nipate kazi mkoanii… nitakaa home mpk niolewee
 
Ila tunaokaa nyumbani hatuna uhuru kabisa…. Imagine huwezi hata kumtembelea mpnz wako mkoa mwinginee unaagaje na huna kazii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNAMPATIA KILA KITU ILA HUWEZ KUMPA PIPE/UKUNI

ANATAKA AWE ANAILAZA KWA JAMAA
Ndio maana mzazi anatakiwa awe makini hawa mabinti hawakawii kuleta wajukuu wasio na baba anayeeleweka. Mzazi wewe ndiye mchunga usikubali huo upuuzi pia usiruhusu mavazi ya kipuuzi kwa mabint wako. Jitahidi walee katika Maadili.
 
Sure
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Mimi sitoki nyumbni ad wazazi wangu waone aibu waniache mim wakapange
 
Ukiona binti kapanga na hana kazi , wahuni tunasema tumia kondom , kama hana kazi wewe kama baba amri iwe ni moja tu.
 
Bora muache awe huru akapange hata akiolewa atatulia.
Hii ya kuwabana wanaenda zibukia kwa waume zao Kisha ndoa chali
 
Back
Top Bottom