Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

We kasome Tangazo Vizuri inaonekana huelewi nini kinaendelea
Tuwekeni ushabiki pembeni kidogo tuliongelee suala la mpira wetu. Tukubaliane kilichofanyika na Yanga sio sawa kabisa na adhabu kali sana ilitakiwa kutolewa lakini Simba kugomea mchezo eti sababu hawajafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi ni ujinga wa kupitiliza na adhabu ingetolewa lakini kwakuwa TFF ndio Simba na Yanga basi madudu yanaanzia humo. HIi nadhani inatakiwa iwekwe kwenye record ya dunia ujinga huu. Kila kosa lina adhabu yake sasa mangapi huko mbele tutahairisha maana kila kanuni ikivunja mechi itavunjwa au hii ni kwa Simba na Yanga tu. Au wanaona mechi imeanguka kwenye Ramadhan wanaweza wasipate pesa nyingi wataisogeza siku ya Eid au pasaka ndio sababu kuu, washenzi wakubwa hawa.
 
El
Ela ya kifurushi nilikuwa nimekopa.
 
Nimepata hasara sana sema tiketi zangu nitatumia game zijazo na Kuna mwanangu katoka uingereza kisa hii game Leo anakutana na haya majanga dah
 
Tatizo press release ya Simba mliisoma kikawaida sana.

Ila mngeyazingatia yale maneno ya mwisho HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA mngeweza kupima kiwango cha u serious walicho maanisha
Football inachezwa kwa ajiri ya mashabiki haiwezekani wahuni wachache wasababishe watu washindwe kuangalia mpira, viongozi wa Simba wapeleke timu uwanjani hayo mambo mengine wa deal nayo nje ya uwanja hio ni weakness wameonesha
 
Unakikumbuka kisa cha RC wa mwanza kwwnye mechi ya pamba jiji vs simba?
 
Ubaya Ubwela

Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Vibaby girl/ drama queens/ vilast born kwa kupenda kulialia basi sisi hatusemi.
 
Sijui umeanza kufuatilia mpira lini lakini kanuni inaruhusu timu kufanya mazoezi muda ule ule ambao mechi itachezwa. Mechi ilikuwa ichezwe saa 1 kwa hiyo Simba ilifika uwanjani muda huo huo. Kama ni mfuatiliaji wa mpira utajua hilo ni jambo la kawaida sana.
 



Kuandika Yanga dhidi ya Simba badala ya Yanga na Simba kunatia ukakasi
 
Ni aibu timu kubwa kama Simba kufanya kitendo kama hiki. Unamuhofia mpinzani wako mpk unaogopa kupeleka timu uwanjani na kuanza kutafuta visingizio vya kitoto, simba imeonyesha tabia za kike kususa susa tena kususa pasina kuwa na sababu ya msingi, ukiwaza unacheka tu mwenyewe😅😂😂😂
 
Football inachezwa kwa ajiri ya mashabiki haiwezekani wahuni wachache wasababishe watu washindwe kuangalia mpira, viongozi wa Simba wapeleke timu uwanjani hayo mambo mengine wa deal nayo nje ya uwanja hio ni weakness wameonesha
Watapeleka timu siku ambayo TFF itapanga rasmi tarehe ya mechi husika.
 
Kumbe kosa ni la kwao wenyewe hawakutoa taarifa yoyote kwamba watautumia uwanja. Sasa wanaahirisha kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…