Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Toka siku ile ndio nilimdharau yule jamaa!
Hata afanyeje nilimfuta kabisa...tukio lile ndio limezaa hili la jana...
Polisi na mamlaka walimaindi sana ule msimamo wa Simba. Sasa hivi kuna mvutano na mbinu za chini chini za kuiadabisha Simba.
 
Ule uwa
Kwahiyo TFF waongo!? Haya unakwendaje uwanja wa taifa usiku bila taarifa, uliambiwa ule ni uwanja wa fisi!? Kwa utaratibu huo pia inaonekana timu mwenyeji ndio alitakiwa amtayarishie mgeni MAHALA PAZURI PA KULALIA, Ssasa mgeni unakurupuka tu MAJUMBANI MWA WATU hupigi hata simu UTALALA KIBARAZANI😁😁😁
Ule UWANJA sio wa yanga ni wa taifa,wadhani ungekuwa wa yanga simba wangeenda?
 
Bodi ya ligi na TFF nitawaona wanyonge sana wakikubali kuingia kwenye 18 za makolo. Hakuna kanuni inayoitanya simba wagomee hii mechi.
Washauri timu yako basi ya yanga wapeleke timu uwanjani, nenda Sasa hivi kaonane na anayejiita injiinia pale ofisini.
 
Tunaposema Yanga inaongozwa na watu wahuni huwa tunamaanisha. Mhuni hana muda wa kutumia akili
Kuna level ya mjinga ukiendelea kumita mjinga kwake haiwi tena tusi bali unakuwa unamsifia.

Hii ndio nayoiona kwa mashabiki wa Yanga.
 
Hapo bodi imegwaya mziki wa simba na yanga,
Hii siyo nzuri, huwa nashaangaa eti tunajinadi ni ligi namba 6 Africa,!kwa mpira gani Leo watu wengi wameingia hasara na wataachwa hewani,
Bodi ingeangalia namna nzuri ya kudeal na aliyeanzisha tatizo lakini wangeweka msimamo kuwa mechi ni lazima ichezwe..
 
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs Simba SC) uliopangwa kufanyika kwenye uwanja huo leo kuanzia saa 1:15 usiku.

Soma Pia: Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Katika shauri hilo, klabu ya Simba iliandika barua kwa Bodi ya Ligi kueleza kususu tukio tajwa hapo juu, huku pia ikieleza nia yao ya kuto shiriki mchezo huo kwa sababu wamezuiliwa kutumia haki yao ya kikanuni kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni ya 17:45 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

View attachment 3263593
Hii bodi ya ligi na ile kamati ya masaa 72 inaendeshwa kwa remote, sijawahi ona inakuja na majibu negative kwa Simba🤣
 
Mimi leo ningetukana kila aliyehusika kwenye upumbavu huu kwa maana ya Yanga, Simba na TFF ila nimefunga Ramadhan. Ila kuanzia leo nimedharau kila kitu kwenye league hii na weza kusema league ya kishenzi kabisa na hafai hata kuwa top 100. Nasema shenzi wakubwa na kila aliyekatika hili awe Yanga awe Simba au TFF hawa wote ni kuwashika na kuwafungulia mashtaka kuleta taharauki na hasara kwa wananchi. Mbwa nyie na league yenu ya kishenzi kumaninaaaa zenuuuuuu tena wote na hasa TFF.
 
Unaenda kufanya mazoezi halafu huwasiliani na yeyote halafu unaghairisha mechi na unajua hayo yametendeka
 
Hapo bodi imegwaya mziki wa simba na yanga,
Hii siyo nzuri, huwa nashaangaa eti tunajinadi ni ligi namba 6 Africa,!kwa mpira gani Leo watu wengi wameingia hasara na wataachwa hewani,
Bodi ingeangalia namna nzuri ya kudeal na aliyeanzisha tatizo lakini wangeweka msimamo kuwa mechi ni lazima ichezwe..
Hawa ni zaidi ya mbwaa kumaninaaaa zao wote waliohusika na huu ujinga na kuonesha uhalisia wa league yetu uswahili mwingi shenziiiiiii kabisa.
 
Back
Top Bottom