Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

TFF Nao wajitasmini katika kupanga muda wa mchezo hasa timu hizi mbili iwe mchana na si usiku, hii itaendelea kusababisha migogoro ya kutafuta
 
Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
Bodi ya ligi Leo imejivua nguo imeonyeshe namna ambavyo wanaendesha ligi kienyeji,,na wameingia kwenye mtego mbaya sana ambao utakuja kuwagharimu,,iyo mechi watayopanga ichezwe siku nyingine Simba atacheza peke yake uwanjani maana ata yanga atopeleka timu uwanjani mpaka waseme ni kanuni ipi imefanya waahirishe mechi!
 
Kwenda kujisaidia ni haki sio haki!? Nakumbuka tulipokuwa shuleni ilikuwa lazima uombe ruhusa ya kwenda kunya... zipo taratibu pia za kuitumia na kuipata hiyo hiyo ambayo ni YAKO!
Haikua lazima kuomba ruhusa shuleni ndo maana kulikua na brake time ambayo ipo kisheria, ukitaka kwenda toilet kinyume na sheria yani muda wa darasani ndo lazima uombe ruhusa
 
Ila kuwa mshabiki wa Yanga ni kujidhalilisha sana.

Can't imagine wao wanashindwa kuliona hili.

Huyu jamaa anaendelea kuhamisha watu waende uwanjani afu ye kachimba home miguu kwenye meza.

Na aina ya watu wao walivyokuwa wajinga si ajabu wakaenda kweli.
Screenshot_20250308-142852.png
 
Wakuu,
Nipo hapa mpakani kati ya Uganda na Tanzania mtukula,Taarifa nyeti hatuna,ni kwamba mechi imeahirishwa au itachezwa?

Mlioko Jijini Kinondoni basi mtuambie yanayojiri huko,hasa wale waliokaribu na uwanja wa Mkapa,shamla shamla vipi,mageti yamefunguliwa,watu wanaingia,au watu wamesusa?

bado hatujajua tujuzeni Huko Daslam
 
KWA HILI YANGA WAMESHAJIJUA (KM AKILI WANAZO)KUWA UTAWALA WAO NI WA HOVYO SANA. HONGERA SIMBA KWA WEREDI MKUBWA KTK MAMBO YAO.
TFF kinabidi kiwe ni chombo huru ambacho kinaweza kusimamia sheria bila kuingiliwa na mamlaka za kiserikali na vilevile kisiwe na mlengo wa kuwa na upande wowote kwenye hizi timu mbili.

Haiwezekani Club iwe na confidence ya kuvunja sheria kwakuona udhaifu wa kanuni kuwa adhabu ya faini ambayo atapata haiendi kumuathiri chochote.

Sasa inapotokea mazingira kama haya kwenye mechi ambayo inaweza kwenda kuamua hatma ya nani kuwa Bingwa.

Huwezi kuishinikiza timu iliyoathirika na uonevu uliofanyika kinyume na sheria kuwa ishiriki mechi kwasababu hao waliovunja sheria watalipishwa faini ambayo kimsingi ndio hiyo laki 5 hadi milioni.
 
Simba waachie ligi yao,
Ligi imejaa uhuni na usanii.

He for she!
 
Ila kuwa mshabiki wa Yanga ni kujidhalilisha sana.

Can't imagine wao wanashindwa kuliona hili.

Huyu jamaa anaendelea kuhamisha watu waende uwanjani afu ye kachimba home miguu kwenye meza.

Na aina ya watu wao walivyokuwa wajinga si ajabu wakaenda kweli.View attachment 3263613
Tunaposema Yanga inaongozwa na watu wahuni huwa tunamaanisha. Mhuni hana muda wa kutumia akili
 
mkuu kwamba wewe una akili

yaani TFF mwenye mpira wake na kanuni zake kasema simba hakuwasiliana na mamlaka ili afanyiwe maandalizi

ila wewe mwenye akili unasema haikuwa na sababu

kwa akili hizi huwezi kuwa hata mtaji wa ccm
Wajinga wa aina yako na wengineo ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Ukiweza angalau kujenga hoja kwa uwezo Mdogo ulionao basi nicheki. Ila kwa Sasa pambana na baadhi ya wajinga na wapumbavu wenzio
 
Back
Top Bottom