Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Mkuu tukitaka kumaliza haya mambo hatutakiwi kuegemea upande. Taarifa pia inasema Simba haikuwasiliana na Maofisa wa mchezo, timu mwenyeji wala mamlaka ya uwanja ili maandalizi ya kikanuni yafanyike. Hicho kipengele umekiruka kwa kuwa Simba ni timu yako. Hivi sivyo tunavyosolve matatizo.
Mimi mwenyewe nimeshangaa kusoma hayo maelezo kuwa hawakutoa taarifa.
 
Mwenyewe..!
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Uwezo Mdogo kufikiri au hata wa kujenga hoja. Ndio mana mnaendeshwa kama makondoo..sisi wenye IQ above normal tumekaa tunawacheki tu ..
 
Kwa mwenye kanuni za ligi arejee vifungu vyao wenyewe ambavyo wanavikiuka hadharani na kuendekeza ushirikina.
Hii ni aibu Ya Mwaka.

"Pingamizi la mchezo lilipaswa kuwasilishwa baada ya mechi"
 
Hapana, root cause ni uongozi wa Yanga. Wale mabaunsa hawajiweki pale.
Kwa hiyo Simba siku zote walikuwa hawafanyi mazoezi wanangoja kutumia kanuni ili wafanye mazoezi siku moja kabla ya mechi? Ukiondoa kanuni, Simba ameshacheza mara ngapi pale kwa Mkapa? Ina maana yeye ni mgeni wa Uwanja wa Mkapa anayetoka Sudan kuja kucheza Tanzania?
Simba haikupaswa kugomea mechi eti kwa sababu haikufanya mazoezi kikanuni!!
 
mwisho tff watafute namna ya kuongeza mapato yao badala ya kutegemea simba na yanga zinapokutana wao ndiyo wavune pesa, na kwenye hili simba walishika mpini karia na watu wake kimewaramba.
Lengo lao watu wasiende uwanjani siku ya Wanawake leo Wanawake wanajimanua huko Beijing
 
Hii sasa ndio ile watu wanaita Paranoia
Screenshot_20250308-142852.png
 
Hapa imetumika busara za kuleana na sio kanuni.
Kwenye maelezo ya paragraph ya tatu inaonesha kosa ni la wao Simba kutotoa taarifa kwa yeyote yule kuhusu kuhusu kuutumia uwanja siku ya Ijumaa View attachment 3263597
Upo sahihi l, mwenye kosa ni Simba halafu wanalazimisha kuisingizia Yanga imewazuia. Wao kwa taratibu walitakiwa waziarifu mamlaka pale sio kwako.
 
Simba wanahangaika tu, wamehairisha kipigo ila kipigo kijacho ni kikubwa zaidi ni Swala la muda tu.

Waliambiwa wafanye usajili wakawa wana fanya mchezo aya ndio matokeo yake.
Usiku wa deni hau kawii kucha.
Wewe uliefanya usajiri huko club bingwa umefanya nini? Kama sio Ibenge kuchukua mlungula wewe ungeshinda kule??

Tazma mechi ulizocheza ambazo hazikudhaminiwa na GSM nini ulichokutana nacho??

Acheni uchawi, acheni matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu mtafanikiwa, simba mlikuwa mnaifunga kwa unyonge sasa wameaamka
 
Dedication song to Simba
Siendi nasema siendi, katuma na ya kutolea lakini siendi by Zuchu.
 
Back
Top Bottom