Admin wa Tabora United ame'pin hii comment yako Mkuu...Simba wanahangaika tu, wamehairisha kipigo ila kipigo kijacho ni kikubwa zaidi ni Swala la muda tu.
Waliambiwa wafanye usajili wakawa wana fanya mchezo aya ndio matokeo yake.
Usiku wa deni hau kawii kucha.
Uyo nae alietoka uingereza kuja kuangalia simba ya yanga nae ajitafakari akinili mwakeNimepata hasara sana sema tiketi zangu nitatumia game zijazo na Kuna mwanangu katoka uingereza kisa hii game Leo anakutana na haya majanga dah
mmekimbia game kwa hakiNimefurahi sana, Haki yetu tumeipata
Tushachoka kuwanufaisha matapeli na sadaka zetu!Hio pesa si Bora ungeitumia hata kwa sadaka kesho kanisani kama wewe ni mkristu...YANI utoke mkoani uje dar kwa ajili ya Simba vs yanga? Kwani hakuna tv majumbani kwenu?
Sisi simba TUTAENDA nyie yanga endeleeni kuangalia kwenye TV kwa kuwa huwa hamna hela.Helaa zetu za tiketi,nauli zetu tuliotoka mikoani,tumelala magesti,hotel tumetumia gharama kubwa kirahisi mnahairisha mechi,watanzania tuinuke sio mashabiki wala wapenzi watanzamaji,tuangalie mpira kwenye tv inatosha hakuna kwenda uwanjani
Yupo analia tu hapa mkuuUyo nae alietoka uingereza kuja kuangalia simba ya yanga nae ajitafakari akinili mwake
Kipigo kipo pale paleKwahiyo mmefanikiwa kukimbia kipigo
Badala abak kushabikia huko alipo anakuja kwa makolo na utopolo na Tifufu wenye utotoYupo analia tu hapa mkuu
Sababu ni Ubaya Ubwela tu Mkuu.😀Nchi za watu weusi na akili zao nyeusi
Sababu ya kuahirishwa mechi haipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sababu ni Ubaya Ubwela tu Mkuu.[emoji3]
Ndio uone tulivyo na roho mbaya Watanzania.Leo ni siku ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ambapo Mh.Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi......There is no way hii game ingechezwa Leo.....
Poleeee sanaa, kimekulambaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukutane saa moja kwa Mkapa! Kutokufanya mazoezi haiwezi kuwa sababu ya mchezo kuahirishwa.Mchezo utachezwa na hatua zitachukuliwa baada ya Mchezo.Vinginevyo Biashara utd na JKT Queens warudishiwe alama zao.
YANGA BINGWA
Duh!!TFF kinabidi kiwe ni chombo huru ambacho kinaweza kusimamia sheria bila kuingiliwa na mamlaka za kiserikali na vilevile kisiwe na mlengo wa kuwa na upande wowote kwenye hizi timu mbili.
Haiwezekani Club iwe na confidence ya kuvunja sheria kwakuona udhaifu wa kanuni kuwa adhabu ya faini ambayo atapata haiendi kumuathiri chochote.
Sasa inapotokea mazingira kama haya kwenye mechi ambayo inaweza kwenda kuamua hatma ya nani kuwa Bingwa.
Huwezi kuishinikiza timu iliyoathirika na uonevu uliofanyika kinyume na sheria kuwa ishiriki mechi kwasababu hao waliovunja sheria watalipishwa faini ambayo kimsingi ndio hiyo laki 5 hadi milioni.
Walikuwa na uthibitisho kwamba walitumwa na uongozi wa Yanga? Au Simba mlienda na watu wenu kutengeneza movie ya kukimbia kipigo?Hapana, root cause ni uongozi wa Yanga. Wale mabaunsa hawajiweki pale.
Unakimbia show ya mwanaume alafu unajisifiaPeleka mashoga zako singida mcheze