Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Admin wa Tabora United ame'pin hii comment yako Mkuu...Simba wanahangaika tu, wamehairisha kipigo ila kipigo kijacho ni kikubwa zaidi ni Swala la muda tu.
Waliambiwa wafanye usajili wakawa wana fanya mchezo aya ndio matokeo yake.
Usiku wa deni hau kawii kucha.