Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Simba wanahangaika tu, wamehairisha kipigo ila kipigo kijacho ni kikubwa zaidi ni Swala la muda tu.

Waliambiwa wafanye usajili wakawa wana fanya mchezo aya ndio matokeo yake.
Usiku wa deni hau kawii kucha.
Admin wa Tabora United ame'pin hii comment yako Mkuu...
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Hio pesa si Bora ungeitumia hata kwa sadaka kesho kanisani kama wewe ni mkristu...YANI utoke mkoani uje dar kwa ajili ya Simba vs yanga? Kwani hakuna tv majumbani kwenu?
Tushachoka kuwanufaisha matapeli na sadaka zetu!
 
Helaa zetu za tiketi,nauli zetu tuliotoka mikoani,tumelala magesti,hotel tumetumia gharama kubwa kirahisi mnahairisha mechi,watanzania tuinuke sio mashabiki wala wapenzi watanzamaji,tuangalie mpira kwenye tv inatosha hakuna kwenda uwanjani
Sisi simba TUTAENDA nyie yanga endeleeni kuangalia kwenye TV kwa kuwa huwa hamna hela.
 
Na TFF Wameingia kwenye mfumo😆...
Masikini mashabiki walioenda na tuliolipia ving'amuzi...
Mi ndo mana nafocus na mechi za kina Dodoma jiji/ mbungi za akina Namungo na Blackstars safii! Huu ukubwa wanaotunishiana Simba/Yanga ni ujinga wa hali ya juu! BODI YA LIGI INAJIKUTA INAZIABUDU HIZI TIMU ZA KARIAKOO MNO
 
Tukutane saa moja kwa Mkapa! Kutokufanya mazoezi haiwezi kuwa sababu ya mchezo kuahirishwa.Mchezo utachezwa kama kanuni zinavyotaka na hatua zitachukuliwa baada ya Mchezo.Vinginevyo Biashara utd na JKT Queens warudishiwe alama zao.

YANGA BINGWA
 
Leo ni siku ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ambapo Mh.Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi......There is no way hii game ingechezwa Leo.....
Ndio uone tulivyo na roho mbaya Watanzania.

Kuwa siku ya wanawake imekuja ghafla kama kifo.
 
Tukutane saa moja kwa Mkapa! Kutokufanya mazoezi haiwezi kuwa sababu ya mchezo kuahirishwa.Mchezo utachezwa na hatua zitachukuliwa baada ya Mchezo.Vinginevyo Biashara utd na JKT Queens warudishiwe alama zao.

YANGA BINGWA
Poleeee sanaa, kimekulambaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
TFF kinabidi kiwe ni chombo huru ambacho kinaweza kusimamia sheria bila kuingiliwa na mamlaka za kiserikali na vilevile kisiwe na mlengo wa kuwa na upande wowote kwenye hizi timu mbili.

Haiwezekani Club iwe na confidence ya kuvunja sheria kwakuona udhaifu wa kanuni kuwa adhabu ya faini ambayo atapata haiendi kumuathiri chochote.

Sasa inapotokea mazingira kama haya kwenye mechi ambayo inaweza kwenda kuamua hatma ya nani kuwa Bingwa.

Huwezi kuishinikiza timu iliyoathirika na uonevu uliofanyika kinyume na sheria kuwa ishiriki mechi kwasababu hao waliovunja sheria watalipishwa faini ambayo kimsingi ndio hiyo laki 5 hadi milioni.
Duh!!
 
Back
Top Bottom