Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Kwa usenge waliofanya yanga hakuna mechi yoyote itachezwa, simba anapewa points 3 na goli 3... sasa yanga jifanyeni kwenda uwanjani mpokonywe points 10 apewe mnyama.
 
Hiyo saa 10 watakuwa na mambo yao ya kufanya training jinsi ya kuruka ukuta ili siku rasmi ya mechi iwe rahisi
Yanga wanataka kwenda uwanjani kwenda kutoa takataka zao walizokuwa wakizilinda
 
Kwa usenge waliofanya yanga hakuna mechi yoyote itachezwa, simba anapewa points 3 na goli 3... sasa yanga jifanyeni kwenda uwanjani mpokonywe points 10 apewe mnyama.
Ko Ndo Simba inavotaka ishinde kwa mtindo huo huoni kama ni ugonjwa wa akili huo
 
Hili sekeseke litaendelea tu...

Hiyo tarehe mpya itakayopangwa nao Yanga watagoma kuleta timu uwanjani (kwa mujibu wa barua yao waliyotoa leo)

Tunarudi kule kule...

Haya mauza uza hadi lini sijui kwa kweli
Hawana jeuri hiyo Yanga
 
Hawa ni zaidi ya mbwaa kumaninaaaa zao wote waliohusika na huu ujinga na kuonesha uhalisia wa league yetu uswahili mwingi shenziiiiiii kabisa.
Heee! Vipi tena mzee...[emoji23]
 
Yanga ni wapumbavu pumbavu.... Kuna fala alipiga mtu makofi nikasema I wish I could be there....
 
Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
Kwahio kijana upo uwanjani? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wa mikoani mtoe location sasa, kilichobaki ni vyombo tu, itabidi mshana ulete ile mada pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…