Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Aliyekamata MBUZI ndie mchawi,mnajifanya wabaabe haya chezeni ndo tushasusaMwanaume unakimbia game alafu unaenda kujisifia maujinga? Waliposema wamejiandaa na wako fit, kumbe ilikua ni kukimbia???
Mmetia aibu sana
Niko huko kwa sasa mkuu napambana karibu usenge hawajuii HawaHamia Rwanda
Umechafua lugha.Someni chin
Sababu ya kuhairisha UCHUNGUZI zaidi
UCHUNGUZI haujafanyikaa hahahaa watakutangazia tarehe ya mechi nyingine
Maaneke Hawa watu wanafanya WATANZANIA wajinga umeshatangaza sababu ya kuhairisha UCHUNGUZI
Aujaisha ushatangaxa hukumu mechi itarudiwa shame n you BODI ya LIGI n tff