Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Na kanuni haijatoa muongozo kuwa lazima watoe taarifa
Msiumize kichwa sana hapo bodi ya ligi wamesema hivyo ili kujiweka pembeni kimtindo na ili kutowachukiza wakubwa walio nyuma ya yanga...ila kiuhalisia ni hoja ya kijinga kuwahi kutokea tangu Dunia kuumbwa..kwamba Mimi nikupigie simu kua nakuja uwanjani kufanya mazoezi [emoji23] only in Africa..
 
Heee! Vipi tena mzee...[emoji23]
Wanatia hasira hawa watu maana sheria ziko kila kosa lina adhabu yake labda TFF waje hapa na vipengele waseme kosa hili adhabu yake mechi kusogezwa mbele vinginevyo hawa washikwe watiwe ndani watoke baada ya Eid viongozi wote waliohusika. Inatia aibu mpira wa nchi hii hawajali gharama za watu kwao sio muhimu hata kama mtu alitumia alfu moja kujiandaa ni yake.
 
Bodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
Yanga ni nani nchi hii? Bodi ndio ina mamlaka, hamna la kuwafanya
 
Wasenge bodi ya ligi
Isiishie hapo hawa ni kama wacheza kamari watiwe ndani kuharibu taswira ya nchi yote wametia doa kubwa sana mpira wa Tanzania, Na naomba washabiki wote nchi hii bila kujali unashabikia team gani katika hili sauti iwe moja. Hawa watu waliohusika kwenye hili sijui makomandoo, Simba, Yanga na TFF na yoyote mwenye mkono kwenye hili washikwe mchana karandinga tupa ndani kesi itatajwa baada ya Ramadhan. Hakimu yuko likizo kwenye mfungo. mbwaaaaa hawa.
 
Football inachezwa kwa ajiri ya mashabiki haiwezekani wahuni wachache wasababishe watu washindwe kuangalia mpira, viongozi wa Simba wapeleke timu uwanjani hayo mambo mengine wa deal nayo nje ya uwanja hio ni weakness wameonesha
Labda hujaielewa vizuri slogan ya Ubaya Ubwela
 
Ni aibu timu kubwa kama Simba kufanya kitendo kama hiki. Unamuhofia mpinzani wako mpk unaogopa kupeleka timu uwanjani na kuanza kutafuta visingizio vya kitoto, simba imeonyesha tabia za kike kususa susa tena kususa pasina kuwa na sababu ya msingi, ukiwaza unacheka tu mwenyewe😅😂😂😂
Yanga walivyosusa kucheza mwaka 2021 walikuwa na sababu gani ya msingi?
 
Back
Top Bottom