Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Na kama walienda bila taarifa hao mabaunsa wa yanga walijuaje?Wahusika gani?
Kwamba Simba ilitakiwa iwapigie simu Yanga kuwa tunakuja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama walienda bila taarifa hao mabaunsa wa yanga walijuaje?Wahusika gani?
Kwamba Simba ilitakiwa iwapigie simu Yanga kuwa tunakuja?
Wasenge bodi ya ligiHawa ni zaidi ya mbwaa kumaninaaaa zao wote waliohusika na huu ujinga na kuonesha uhalisia wa league yetu uswahili mwingi shenziiiiiii kabisa.
Walienda kuwangaNa kama walienda bila taarifa hao mabaunsa wa yanga walijuaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mechi ingechezwa nani angezilipa hizo gharama za lodge?
Na kanuni haijatoa muongozo kuwa lazima watoe taarifaNa kama walienda bila taarifa hao mabaunsa wa yanga walijuaje?
Ndiyo. Na siondoki mpaka nitudishiwe pesa zangu 😀Kwahio kijana upo uwanjani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Msiumize kichwa sana hapo bodi ya ligi wamesema hivyo ili kujiweka pembeni kimtindo na ili kutowachukiza wakubwa walio nyuma ya yanga...ila kiuhalisia ni hoja ya kijinga kuwahi kutokea tangu Dunia kuumbwa..kwamba Mimi nikupigie simu kua nakuja uwanjani kufanya mazoezi [emoji23] only in Africa..Na kanuni haijatoa muongozo kuwa lazima watoe taarifa
Huo ni mtego kwa yanga. Wakiuingia basi points watakatwa waoYanga nao watagomesha tarehe mpya
Wanatia hasira hawa watu maana sheria ziko kila kosa lina adhabu yake labda TFF waje hapa na vipengele waseme kosa hili adhabu yake mechi kusogezwa mbele vinginevyo hawa washikwe watiwe ndani watoke baada ya Eid viongozi wote waliohusika. Inatia aibu mpira wa nchi hii hawajali gharama za watu kwao sio muhimu hata kama mtu alitumia alfu moja kujiandaa ni yake.Heee! Vipi tena mzee...[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] bakini hapo hapo...Mr Wallace Karia Yuko njiani anakuja kuwarudishia pesa zenu[emoji23] msiondokeNdiyo. Na siondoki mpaka nitudishiwe pesa zangu [emoji3]
Mnaanza kufanya ujinga na makomando kipensi halafu mjitoe kwenye ligi?ubaya ubwelahuo ni uhuni ....Yanga ikibidi ijitoe kwenye ligi ya kihuni
Yanga ni nani nchi hii? Bodi ndio ina mamlaka, hamna la kuwafanyaBodi ya Ligi imekuwa bodi ya HOVYO sana, kwanini mchezo uahirishwe? Mbona mchezo wa JKT Queens haukuahirishwa? Yanga hatupo tayari kwa mchezo siku nyingine na tunafahamu mchezo ni leo.FULLSTOP
tunajitoaje wakati tunagawa dozi za 4G 5G na dozi ndogondogo?Mnaanza kufanya ujinga na makomando kipensi halafu mjitoe kwenye ligi?ubaya ubwela
Isiishie hapo hawa ni kama wacheza kamari watiwe ndani kuharibu taswira ya nchi yote wametia doa kubwa sana mpira wa Tanzania, Na naomba washabiki wote nchi hii bila kujali unashabikia team gani katika hili sauti iwe moja. Hawa watu waliohusika kwenye hili sijui makomandoo, Simba, Yanga na TFF na yoyote mwenye mkono kwenye hili washikwe mchana karandinga tupa ndani kesi itatajwa baada ya Ramadhan. Hakimu yuko likizo kwenye mfungo. mbwaaaaa hawa.Wasenge bodi ya ligi
TFF ina mashabiki?Watapeleka timu siku ambayo TFF itapanga rasmi tarehe ya mechi husika.
Labda hujaielewa vizuri slogan ya Ubaya UbwelaFootball inachezwa kwa ajiri ya mashabiki haiwezekani wahuni wachache wasababishe watu washindwe kuangalia mpira, viongozi wa Simba wapeleke timu uwanjani hayo mambo mengine wa deal nayo nje ya uwanja hio ni weakness wameonesha
Ndio shida ya mpira wetu bado tunaamini uchawi basi tungekuwa kila mwaka mabingwa wa Africa. UpumbavuuuuuuuuYanga wanataka kwenda uwanjani kwenda kutoa takataka zao walizokuwa wakizilinda
Yanga walivyosusa kucheza mwaka 2021 walikuwa na sababu gani ya msingi?Ni aibu timu kubwa kama Simba kufanya kitendo kama hiki. Unamuhofia mpinzani wako mpk unaogopa kupeleka timu uwanjani na kuanza kutafuta visingizio vya kitoto, simba imeonyesha tabia za kike kususa susa tena kususa pasina kuwa na sababu ya msingi, ukiwaza unacheka tu mwenyewe😅😂😂😂
Mimi sipo kwenye huo ujingaLabda hujaielewa vizuri slogan ya Ubaya Ubwela
Wapo wengi tuTFF ina mashabiki?