T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Satellite kutuma na internet kuanza ni vitu viwili tofauti. Kwa nilivyosikia nilijua wataanza mwakani internet, unless uniambie wameishaanza mkuu. Ujue nawafuatilia sana Wachina hasa CCTVMbona wameshatuma satellite mkuu? Au hauna hizo taarifa?
Basi nawe ungana kwenye swali la mwenzio. Ni capsule ipi ya China ita-dock pale ISS?
Au mnahisi space capsule ni kama lori la matofali la Kichina, leo unaamua utumie Howo kesho utumie FAW.
Satellite kutuma na internet kuanza ni vitu viwili tofauti. Kwa nilivyosikia nilijua wataanza mwakani internet, unless uniambie wameishaanza mkuu. Ujue nawafuatilia sana Wachina hasa CCTV
Conclusion: Hakuna zaidi ya Mmarekani atakayeweza watoa wale stranded astronauts.Ndio maana Mchina akaanzisha space station yake kuwapa jibu Marekani walidhani Mchina hataweza
HaujakatazwaUjue nawafuatilia sana Wachina hasa CCTV
Conclusion: Hakuna zaidi ya Mmarekani atakayeweza watoa wale stranded astronauts.
Alafu ISS haikuwa inamhitaji Mchina, hakukuwa na haja aingie project ishafika mbali. Mmarekani na Mrusi wanatosha na soon wanaachana. Ayo mambo ya wivu unasema wewe.
Mpaka zitumwe satellites nyingi. Ndio maana hao Wachina wako hujaona wanauza internet service, kwa lugha nyepesi ni kwamba hakuna space internet ya Kichina hadi sasa. Na itaanzia kwao kwanza kabla kwenda kwingineKama satellite zimekuwa successfully delivered them into orbit kinachofuata hapo ni ultra-reliable satellite broadband internet services
Kwa kutumia space capsule ipi Mchina ataweza?Mchina anaweza kama anaweza kuwapeleka na kuwarudisha astronauts wake wa TSS atashindwaje wa ISS
Mpaka zitumwe satellites nyingi. Ndio maana hao Wachina wako hujaona wanauza internet service, kwa lugha nyepesi ni kwamba hakuna space internet ya Kichina hadi sasa. Na itaanzia kwao kwanza kabla kwenda kwingine
Kwa kutumia space capsule ipi Mchina ataweza?
Yaani unaambiwa BMW X6 imekufa injini, unasema tutaweka ya Toyota Harrier Hybrid kisa nalo ni gari linatembea?
China hawana kibali cha kutua ISS, Urusi na Marekani hawajawahi wakagua wakawahidhinisha. Ingawa technically China iliwakopi Warusi docking system yao ambayo walishirikiana na Marekani kuitengeneza. Process za kuwaruhusu ni ndefu kama ambavyo iliwachukua muda SpaceX kuruhusiwa.Shenzhou space capsule
China hawana kibali cha kutua ISS, Urusi na Marekani hawajawahi wakagua wakawahidhinisha.
Ingawa technically China iliwakopi Warusi docking system yao ambayo walishirikiana na Marekani kuitengeneza
Sasa kama wamenasa watawezaje kurudi February mwakani wangali hai 🙄
Process za kuwaruhusu ni ndefu kama ambavyo iliwachukua muda SpaceX kuruhusiwa.
🤣🤣🤣 eti hawana wasiwasi wa kutorudi dunianiWanaanga wa China wakifurahia kwenye Tiangong Space Station hawana wasiwasi wa kutorudi duniani
Unaringia kudock ilihali wenzako wana ISS ya kisasa utafikiri upo hotel Verde zanzibarMarekani ni watu makini kwenye safety ya watu wake. Ndio maana OSHA ndio wao waliianzisha na ilikuwa chini ya mamlaka yao ya ajira, kabla hawajaifundisha na kuisambaza duniani. Vitu vingi sana unavyotumia kwenye usalama ni vya Wamarekani.
Huwezi walinganisha Wamarekani na Wachina ambao waliwahi kuuana mamilioni kwa mamilioni kila baada ya miaka kadhaa. Mara ya mwisho hapo Mao Zedong alisababisha njaa kuanzia 1959, njaa kubwa zaidi ya mwisho kutokea duniani wakafa Wachina zaidi ya milioni 30 kwa sera mbovu za kiongozi wao.
Kwanza kwa taarifa yenu Boeing Starliner imetua duniani salama kabisa kwa autopilot, na haikuwa na tatizo lolote hivyo hata wangekuja nayo hawa astronauts wawili isingekuwa shida. Boeing walihakikisha iko sawa, NASA hawakubisha ila walitaka kuwa na uhakika kabisa. Wamefanya hivi tabia za Kimarekani kuzingatia usalama.
Wachina waombwe msaada kwa lipi? Tueleze ni capsule gani ya Kichina inaweza dock pale ISS.
Mwenye wivu ni huyu aliyemnanga mwenzake asiwe kwenye space programConclusion: Hakuna zaidi ya Mmarekani atakayeweza watoa wale stranded astronauts.
Nilitaka mjue hilo muache kujipa umuhimu, mnatisha watu humu mara Marekani aombe msaada Urusi mara China.
Alafu ISS haikuwa inamhitaji Mchina, hakukuwa na haja aingie project ishafika mbali. Mmarekani na Mrusi wanatosha na soon wanaachana. Ayo mambo ya wivu unasema wewe.