stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Mbunge anahusikaje hapa acha upofu wa akili. Mbunge wa ajabu kwa lipi ?HV Nchemba na Lema nani wa ajabu?
Ungezaliwa 1953 lazima ungemwona Nyerere mtu wa ajabu huku ukiwatukuza wakoloni
bila kumkamata lema arusha haitakuwa na amani
Mkuu umeona eeh lakini walisema hawa tena bayana....hawa jamaa washaiharibu AR, kwa kweli katika mikoa sitaki kwenda ni AR maana Lema lol kashaiharibia AR sifa zote za zamani
Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!
Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?
Hata Dr Slaa yupo German akitumbua maraha na kimwana a.k.a First Lady wa Chamdomo
Mungu atawabariki na kuwalinda,lakini kumbukeni kuwa,• Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!
• Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?
Taarifa ipi tena haijulikani isubiriwe?Km ya mwangosi?Tusubiri taarifa kamili wee upo kakonko ushabiki wa nini utafikiri upo AR? Acha umbea mtoto wa kiume utasutwa bure
Juliana,s second sexHvi mnaoandika hasa ww uliyesema mlikuwa kwenye kikao na mkuu wa mkoa we ulihuska kama nan na taarifa zako znaushahid au unaropoka 2 kama una ushahid weka audio ya mazungmzo then yote yanawezeka either CDM ndo wamelipua ili wasingzie ccm au CCM so mcijitie ndo mnajua sana kuanza kunyooshea vodole wa2 kama huna uhakika
Then IKUMBUKWE hapa sio sehem ya campen so ongeen point
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wa kwanza kukamatwa ni Mwigulu Nchemba,alitengeneza uongo mweusi,kiasi kwamba hata Shetani haujui,sasa matokeo ya uongo ndio huo wa kuua.
Mungu atawabariki na kuwalinda,lakini kumbukeni kuwa, Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!
Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?
Mkuu mimi nahusika vipi na hili suala la kigaidi?Yupo wapi Chris Lukosi ajiangalie alivyokuwa mtetezi wamaovu na nyumba ya shetani?Wapo wapi wana mapinduzi wote walionunulika na CC kirahisi?Wapo wapi wasomi waliosoma historia za kupika, na leo hawana misingi imara ya ku defien utu wao?Wapo wapi akina Augustino Mrema alioanguka kirahisi na sasa kila kauliza zao zinawapa uajsiri waovu?
Wapo wapi wana CCM ambao hawakuwahi jua kuwa kuwa CCM ni kupotea?
the difference btn stupidity and genius is that genius has its limitsWee Mtoi unataka kiongozi gani wa serikali Kama RC na DC wapo kwenye tukio zima na wametuambia nini kimetokea. Ulikuwa unamtaka nani zaidi? Dr Slaa mbona na yeye hayupo kaishia kutuandikia humu JF pekeyake yupo ughaibuni akila maraha na Bi Jose
Wakaamua kuwamalizia na wale waliosalia kwa mabomu na risasi za moto. JK utasema je hapa. Ya kanisani ulispin sasa tuone mtauwa wangapi Arusha ili mjue mlishakufa zamani.
Acha ujinga wewe boya unashangilia vifo ulivyovitengeneza mwenyewe halafu unaandika utumbo hapa eti hutaki kwenda Arusha wakati umepiga kambi huko. Kuna mijitu mingine mnaishi kwa bahati mbaya tu mlipaswa kuwa makaburini, hata hivyo siku yako itakufika tu usijione mjanja sana kwa Mungu hakuna mjanja.