Aendelee Juu zaidi wapi huko!?Hii ndiyo inatulemaza wengi wakishapata hayo yote basi hawazi sanaa namna ya kuendelea juu zaidi, ni pombe na madem na jamii inaona sawa tu vile amejenga na ana gari.
Kuna wenzio kua na kidemu tu anachokipiga miti kila siku ni mafanikio makubwa mno, kwa hio inategemea na limitation ya mafanikio ulivyoyaweka wewe km kua na kisabufa kimoja na kupigia watu makelele kwenye kighetto chako chenye hadhi ya stoo ya magunia ya mkaa au kordo ni mafanikio basi wewe una definition yako ya mafanikioChuki na roho mbaya vinaeatesa wanataka kuona mafanikio ya wenzao si chochote wakati suala la mtu kujitegemea tu yani kuwa na gheto na ukamudu gharama za chakula na mavazi nk ni mafanikio makubwa sana kwa binadamu
Halafu wanajisikia wanaonaga ni wajanja kwa kulishwa bure na dada, akipata 10k ni kutongoza mademu mtaani tu🤣We mafanikio kwako si ni kuishi kwa shemeji yako na jioni kuzungukazunguka mtaani umevaa malapa na soksi huku umeweka earphones maskioni
Na huko juu anaendaje mikopo km yote inamuandama madeni kulipa kukata stress kila ukifungua fridge unakutana na pombe kali ni mwendo wa kukata wenge tuAendelee Juu zaidi wapi huko!?
Kama unaona hajafika juu unapopataka wewe, basi malizia mwenyewe.
Hakuna mafanikio hapoHalafu wanajisikia wanaonaga ni wajanja kwa kulishwa bure na dada, akipata 10k ni kutongoza mademu mtaani tu🤣
Hapo hakuna mafanikio ila shtuka nyumba gari sio mafanikio ni zaidi ya unavyojua tafuta mtu akupe ABC zake utaelewa jamboWe mafanikio kwako si ni kuishi kwa shemeji yako na jioni kuzungukazunguka mtaani umevaa malapa na soksi huku umeweka earphones maskioni
Nyumba na gari ni miongoni mwa mahitaji muhimu kwa binadamu
We bwege ili uwe tajiri na uwe tajiri kweli jenga kiwanda supply bidhaa kwa watu, jenga hotel, jenga nyumba za kulala watu namaanisha nyumba zaidi ya 1 kuanzia 10 na kuendelea za kulala watu, jenga sehemu ya watu kupata chakula kodisha chukua pesa, hivyo baadhi namaanisha uwe na assets nyingi nyingi sio kinyumba na kigari basi na wewe eti umetoboa nyanoko labda umetoboa acha niishie hapoWe bwege Ili uwe tajiri unatakiwa uwe na nini sio unafokafoka hapa na hauorodheshi vitu vya kukufanya uwe tajiri
Nyumba gari sio mafanikio ila ulimbukeni wa watu tu na wengine wasioweza maisha hayo uwashinda vyote uishia kuuza na kurudi TZ 11 wengine wanajikunja apate hata bodaboda boxer 1 kuficha aibu baada ya hapo kifuatacho anakijua mwenyeweSijawahi kusikia mtanzania mwenye gari na nyumba anasema amefanikiwa maishani
Mara nyingi tu watu wa pembeni wenye wivu ndio huwa wanachonga utasikia jamaa kajiona amemaliza maisha mwenyewe na hako kanyumba na kagari kamkopo...mmojawapo ni huyu mleta uzi
Nyumba gari sio mafanikio ila ulimbukeni wa watu tu na wengine wasioweza maisha hayo uwashinda vyote uishia kuuza na kurudi TZ 11 wengine wanajikunja apate hata bodaboda boxer 1 kuficha aibu baada ya hapo kifuatacho anakijua mwenyewe
Hoja yako hapo ni nini ?Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Yaan huko mbele watu wanapookota magari ndio usifike kabisa yaan unarudi pale pale kwamba ni ulimbukeni wa watu tu ila hakuna kitu mtu ana kigari cha milioni 4 au 5 basi anaona ana bonge la maisha kumbe ni sifuri zero ulimbukeniNeno mafanikio ni pana sana. Inategemea hasa jamii inayomzunguka mtu
Kwa mfano jamii ya watu wa Ulaya au Marekani (developed countries) kuwa na gari ni kawaida sana. Labda ni aina gani ya gari unayomiliki ndio itawashangaza watu wa nchi hizo
Ukienda vijijini Tanzania kuwa na nyumba ni kawaida ila ukijenga nyumba nzuri yenye paa la Msouth nje una dish la Azam na kageti na pikipiki ya Mchina inakuwa gumzo
Kuwa na umeme kwa mjini ni kawaida sana. Ila kuna maeneo ukienda umeme hakuna mwenye solar anaonekana amefanikiwa
Huyo anayesema gari na nyumba ni mafanikio ni kwa sababu ya umasikini wake. Huenda hiyo nyumba na gari anavyozungumzia kama unaweza kwenda kuvihamishia pale mtaa fulani wa madon Masaki vikaonekana kama kama gari la mfanyakazi na nyumba ya mlinzi (kota)
Neno mafanikio ni pana sana
Acheni ulimbukeni jengeni maishaHoja yako hapo ni nini ?
Kijumba cha matofali ya kuchoma bati msauzi juu master 1 bed room 2 dinning sitting kitchen store na public toilet tena hapo kuna hela lazima ikutoke nyingine maana hio 30 haitoshiNyumba ya mil 30 ndo ipoje hyo
Yaan huko mbele watu wanapookota magari ndio usifike kabisa yaan unarudi pale pale kwamba ni ulimbukeni wa watu tu ila hakuna kitu mtu ana kigari cha milioni 4 au 5 basi anaona ana bonge la maisha kumbe ni sifuri zero ulimbukeni
Sasa ww unavyo ivo vitu na kutoboa huko n kwa maoni yako ww kila mtu ana jinsi ya kutoaboa usilazimishe eti wote wawe na mtazamo wako kwa wabongo labda asilimia mbili 2% ndo wana ivo vitu ulivotaja au chini ya hapo ss ww kinachokuuma nn mtu akiwa na nyumba na gari halaf akajisemea mwenyew kwamba nimetoboaWe bwege ili uwe tajiri na uwe tajiri kweli jenga kiwanda supply bidhaa kwa watu, jenga hotel, jenga nyumba za kulala watu namaanisha nyumba zaidi ya 1 kuanzia 10 na kuendelea za kulala watu, jenga sehemu ya watu kupata chakula kodisha chukua pesa, hivyo baadhi namaanisha uwe na assets nyingi nyingi sio kinyumba na kigari basi na wewe eti umetoboa nyanoko labda umetoboa acha niishie hapo
Huwezi kuelewa kwa sababu unatumia uwezo wako wa kawaida kufikiri ili uweze kwenda sambamba na mimi inabidi uende extra milesHuyo ni wivu tu ubamsumbua gari na nyumba kwake ni mafanikio ila kihalisi naungana na mzee wa kupambania aliyesema nyumba ni mahitaji muhimu kama vile chakula na mavazi.Angalia msimu wa mvua wanavyoteseka
Sijui kama ukimwona mtu anakula utasema jamaa anajiona kafanikiwa kweli cheki anakula chakula.
Huwa hatusemi hivyo kwa sababu tunajua ni hitaji la muhimu maishani
Mtu akijenga nyumba ni kwamba katimiza hitaji la 3 la msingi katika maisha ya binadamu yaani chakula, mavazi na malazi. Sasa sijui mwanetu anakuwaje na wivu na mtu kama huyo
Kwa kuongezea maisha ya sasa gari ni muhimu limekuwa kama sehemu ya mahitaji ya binadamu
View attachment 3115691
Ndio hujatoboa sasa hapo kaa chini pika vitunguuSasa ww unavyo ivo vitu na kutoboa huko n kwa maoni yako ww kila mtu ana jinsi ya kutoaboa usilazimishe eti wote wawe na mtazamo wako kwa wabongo labda asilimia mbili 2% ndo wana ivo vitu ulivotaja au chini ya hapo ss ww kinachokuuma nn mtu akiwa na nyumba na gari halaf akajisemea mwenyew kwamba nimetoboa