Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Mimi nikijenga tuu imetosha wakuu, huku bongo tunachelewa kuanz maisha

Ukiwa na 30 ndio unawez panga chumba moja au mbili sasa unazan ni rahis kuleta mapinduz ya kiuchumi wakat ukoo mzm unakutegemea 😨😨
 
ww

fal kipi hapo kigumu kuelewa
Nafikiri umeelewa ndo maana umepaniki
Labda nikuongezea swali lingine

Hiyo Ist uliyonunua million 10 unafikiri baada ya miatano utaweza kuiuza hiyo Bei ?
Na unafikiri itakuwa imepanda thamani au imeshuka thamani ?

Kama imeshuka thamani , unafikiri umejiongezea utajiri au umaskini ?
 
Mimi nikijenga tuu imetosha wakuu, huku bongo tunachelewa kuanz maisha

Ukiwa na 30 ndio unawez panga chumba moja au mbili sasa unazan ni rahis kuleta mapinduz ya kiuchumi wakat ukoo mzm unakutegemea 😨😨
Unajua watanzania wengi wanamaliza kabisa shughuli za ujenzi wakiwa na miaka mingapi mkuu
 
Usiwe na fikra negative
 
Kumcha Mungu pamoja na kuridhika ni faida kubwa

nipe jina lako nikakuangalie kwenye list ya matajiri forbes top 1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…