Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
mshamba tuNafikiri umeelewa ndo maana umepaniki
Labda nikuongezea swali lingine
Hiyo Ist uliyonunua million 10 unafikiri baada ya miatano utaweza kuiuza hiyo Bei ?
Na unafikiri itakuwa imepanda thamani au imeshuka thamani ?
Kama imeshuka thamani , unafikiri umejiongezea utajiri au umaskini ?
Pole Sanakumbe ww
mshamba tu
Ameelezea uhalisia wa matajiri wa kibongo mkuuKama ni rahisi na wewe kajenge ununue na gari!! Vijana wa siku hizi fakini kabisa
Ila ww naona una kiwango kdg cha kufikiri hakyamungu unauliza maswali ya kitt snNafikiri umeelewa ndo maana umepaniki
Labda nikuongezea swali lingine
Hiyo Ist uliyonunua million 10 unafikiri baada ya miatano utaweza kuiuza hiyo Bei ?
Na unafikiri itakuwa imepanda thamani au imeshuka thamani ?
Kama imeshuka thamani , unafikiri umejiongezea utajiri au umaskini ?
Kosa lake ni lipi mkuuWe mafanikio kwako si ni kuishi kwa shemeji yako na jioni kuzungukazunguka mtaani umevaa malapa na soksi huku umeweka earphones maskioni
Huko kwenu Hali ikoje ?Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
😆😆😆😆 Kwa ufupi ww siyo zwazwa yy ndo zwazwasasa kwanini ulinitukana kuwa ni zwazwa wakati na mimi nasema kutembea kwa mguu ni afya zaidi na kama una magari itakulazimu uyapaki ili utembee kwa mguu upate afya.
Kwani sio kweli fikra za wabongo wengi ni kuwa na magari na Nyumba kubwa hata Kwa mikopo ?Hii mada imekaa kimajungu majungu na kiumbea umbea..... inashangaza kuona imeletwa na mtoto wa kiume....
Yani wewe x wako mmachame alikuvuruga sana.Hizo ni pesa ndogo, we vip? Kuna kaya hata kupata 50k kwa mwezi hawawezi, kijiji kizima hamna anae miliki gari, kwa standarnd zetu hutu ni tajiri mkubwa anastaili heshima yake
Askari amekuumiza sana kununua gari au ?Wanakopa bank na wanalipa kwa mateso makali mnooooooooo usimuone mtu yupo kwenye gari ukahisi ana furaha makato anayokatwa na bank wengine mpaka wanajuta kukopa, askari magereza kakopa M80 sasa anajenga kanunua na gari na mwezi huu anaenda kusoma mke mama wa nyumbani
Duh kajifunza.Ndugu yangu mmoja alikua km wewe na akili za kindezi bi mkubwa akamuita chini akamshauri usiingie kwenye mikopo ndugu alivyo mjinga kasikiliza ushauri wa mkewe kadharau ushauri wa bi mkubwa kaenda bank katia saini M200 miezi 6 imekata yote nyumba kamaliza gari alikua anatembelea Alphard white ndio ilikua gari yake pendwa alienda kula mzinga k/koo gari ikafumuka mbele aliingia chini ya lori, bank kila mwisho wa mwezi wanakomba ½ na ¼ ya mshahara wake mpaka kichwa kikaanza kumuwaka moto watoto anasomeshwa shule za gharama mpaka akaanza kuwarudisha kayumba mmoja mmoja, usiombee yakukute
Wote tunapambana mkuuSambaza ulichonacho tajiri,siye hivi tulivyonavyo vinatosha
Itaongeza utajiri au umaskiniGari tu
Sawa mkuuWote tunapambana mkuu
illa tunajaribu kufikiri tunapopambana destination yetu ikishia kununua gari tutakuwa tumeongeza umaskini au utajiri
Umeongea kitu nilkuwa nikiwaza kabla ya kujenga aiseeNyumba au gari sio sawa na makalio ambayo kila mmoja anayo. Kujenga ni sawa na kuzika hela ardhini na sio kila mmoja mwenye ujasiri huo.
Hakuna kitu kizuri kama kujihakikishia kuwa familia yako itakuwa na sehemu salama ya kuishi bila usumbufu siku ukitwaliwa katika huu Ulimwengu. Hela yangu ya kwanza kubwa kuipata sikufikiria mara 2 zaidi ya kujenga.
Sasa hivi i am happy kuwa familia yangu ina permanent address.
Mengine ni mapenzi ya Mungu
Inamaana ana maden pengine tena inaonekana take home ni ndogo.Sasa ukiangalia kudunduliza itakuchukua miaka ndio hivyo kakutana na mwanamke standard 7 failure kampa ushauri katie saini bank tule maisha jamaa kaingia king kilichofuata ni mtiti imem-cost parefu almost miaka 10 na zaidi ku-recover mateso watoto kurudishwa nyumbani kisa karo haitoshi madeni mpaka anakimbiwa ogopa yasikukute
Usiwe na fikra negativ