Hata za mbele ladha inaenda inapungua, kizazi cha 70-90 katikati tumefurahia sana ujana wetu kwa midundo ya maana iliyoacha historia, nyimbo za kina Celine Mariah care, Whitney nk, mpk watoto wa afu 2 bado wanajiliwaza nazo
Yani acha unasikiliza wimbo mpaka unasinzia, sasaiv sasa😂😂Celine Dion - new day as come
Shwania twain - Forever and always
Hizi nyimbo nilikuwa na headphones 🎧 utamu wake ilikuwa ni sayari nyingine
Watu wametoka mbali.
New day Has come huwa nataka kutoa chozi na uanaume wanguCeline Dion - new day as come
Shwania twain - Forever and always
Hizi nyimbo nilikuwa na headphones 🎧 utamu wake ilikuwa ni sayari nyingine
Asante nitasikiliza badae
Yule mwanamama aliimba aisee inanikumbusha miaka ya mwanzoni 2000New day Has come huwa nataka kutoa chozi na uanaume wangu
Mimi Macmuga alitisha sana king kibaNgoma kali na ninazozikubali ni nyingi mno ila kwa leo acha niwape moja tuu kali.
Alikiba- Mapenzi yana run dunia 🙌
Ka juma nature kenyewe ndio haka!!!Msanii ni Juma Nature tu
Ninazo nyingi sema hizo nimeziweka kwa uchache..Kwa Fid ongezea mwanza mwanza
...hakana hata nyama mama..usitafute lawama!! 🤣🤣🤣Ka juma nature kenyewe ndio haka!!!
Keembamba hakana hata nyama...
Hii naweza sema no 6 kwangu ..Akwelina huu wimbo kila nikiusikia natabasamu tu.Mikasi huyu jamaa aliwezaje kusimulia mtu anaamka ,anapiga mswaki ,anakula supu ,anakuttana na wana (pure talent) kwa kuimba/kuchana tu.