Bongo fleva top 5 yangu ya muda wote

Bongo fleva top 5 yangu ya muda wote

Akwelina huu wimbo kila nikiusikia natabasamu tu.Mikasi huyu jamaa aliwezaje kusimulia mtu anaamka ,anapiga mswaki ,anakula supu ,anakuttana na wana (pure talent) kwa kuimba/kuchana tu.
 
Akwelina huu wimbo kila nikiusikia natabasamu tu.Mikasi huyu jamaa aliwezaje kusimulia mtu anaamka ,anapiga mswaki ,anakula supu ,anakuttana na wana (pure talent) kwa kuimba/kuchana tu.
Hii naweza sema no 6 kwangu ..
Huu Wimbo ndo kama umefanya Wadada wa mjini wasione aibu kujiuza...kile kipande "Acha Longolongo sema Una sh ngapi" kilipendwa sana...na culture ya kusema Una sh ngapi ikashika mbaya Hadi leo...huu Wimbo umebadili culture pia sana
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Top C_Ulofa

T.I.D_Asha

Hussein machozi ft Maunda zoro_Helow

Ali kiba_Mapenzi yana_run dunia.
 
Back
Top Bottom