min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hata za mbele ladha inaenda inapungua, kizazi cha 70-90 katikati tumefurahia sana ujana wetu kwa midundo ya maana iliyoacha historia, nyimbo za kina Celine Mariah care, Whitney nk, mpk watoto wa afu 2 bado wanajiliwaza nazo
View: https://youtu.be/7qaHdHpSjX8?si=pdmDG5m90t35WpyY ila kwa huku bado watu wanafanya vitu bora mno hawaendeshwi na kiki za kijinga