Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahii kabisa,Inafikirisha sana mzee baba ndoa za siku hizi ni maigizo tu mabinti wanaingia kimasilahi
Miaka mingi Sana ilopita[emoji4]Hivi umeoa wewe?
KweliMaisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
UPDATES;
Nimesoma comments zenu zote. Lakini nasema hivi "Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!"
😔Miaka mingi Sana ilopita[emoji4]
Yes, siye tumeumbiwa kuzaa Kwa uchungu nyie mtafute Kwa jasho tulee Sasa jibwetekeMwanamke siku zote ni mpumbavu,kama huyu hawazi kujipigania atoke kwenye umaskini anawaza kuolewa na tajiri
Useme wewe mkuuWako sahihi. Sasa ukimbie maisha magumu mtaani uende kwa mnuka jasho? So bora uendelee ku-hustle peke yako!!?
Kasikilize nyimbo ya Ngwair ft Lady jdee inaitwa kama demu sikiliza.Fact hawa vijana kero tupu ukiomba 10,000 wanaingia mitini
Daah! Umenikumbusha. Hivi Shamimu ndiyo mpk leo bado anasota lupango?Muulize shamimu
Huo utabqkia kuwa wimbo tu. Mm naongelea uhalisia. Mume maskini HAPANA.Kasikilize nyimbo ya Ngwair ft Lady jdee inaitwa kama demu sikiliza.
Hakuna kufanya kazi. Unatakiwa uwe mama wa nyumbaniYes, siye tumeumbiwa kuzaa Kwa uchungu nyie mtafute Kwa jasho tulee Sasa jibweteke
Iko hivi kama hujuiHuo utabqkia kuwa wimbo tu. Mm naongelea uhalisia. Mume maskini HAPANA.
No money no mapenzi
No money no furaha
No money no pepo